Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
ahahahaha sio vizuri Mungu anakuooooonaaaAngeweka nguzi la mahindi nyenge zake zote zingeisha.
bro unauhakika umesoma uzi vizuri?Huyu jamaa itakuwa kakumbuka kuwa kupima mara moja siyo tiketi ya kuikimbia condom [emoji3][emoji23][emoji23]
ahahahaha sio vizuri Mungu anakuooooonaaaAngeweka nguzi la mahindi nyenge zake zote zingeisha.
ahahahahahaHakuwa amejiandaa kiakili/ kimwili/ kisaikolojia kwaajili ya kuto.mbana
ahahahahaNingekuwa ni mimi, ningescreenshot huko watsaap huko huku namba yake ikiwa inaonekana then ningeweka hapa Kama kiambatanishi ili tuamini.
ahahaha u wish eee?Si useme tu imekutokea wewe sasa hivi!!!!!! Kwanini umsingizie rafiki yako!!!!
mmmh umeme unakata machine ikiwa ndani?foreplay ilikuwa weak au shost yako kuna kitu alikifanya kikakata ghafla huo umeme wa TANESCO
hiyo ni obvious na hii ni dalili kubwa sana ya maandalizi hafifu au mmoja kati yao alilazimishwa hakuwa willing na mgegedo