Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo zote ni free download ila hiyo ya Wondeshare Data Recovery ndio inahitaji key japo kuna njia ya ku bypass key zikaingia baada ya kuidownload software freeUnaweza ukanipa link ambayo niko download nioate ambayo iko na key?
Sawa, angalia kwenye local disk C, kama kuna folder limeandikwa windows old? Kama hamna nambie nikuelekeze ku recovery data zakoZipo kwenye hard disk kuna dogo Ali install windows pasipo back up
Sina mkuu.Wakuu Naomba mwenye software ya kurejesha data ( Data recovery software)
Windows 10
64 bit
Natanguliza shukrani kwenu.
Nime recover lakini zote hazifunguki hasa audios sijui kuna namna ya kuzi repair?Inategemea hizo data zako zimepotea kwa mazingira gani.
Yapo mazingira ambayo sio rahisi ku retrieve hizo data.
Hizo software ambazo umepewa kama suggestions zote zina dili na data zilizopotea kwa mfumo wa delete au format.
Lakini kama data zako zilikuwa wiped hiyo haitoi chance ya kuweza kuzirudisha.
Kwa hiyo ni vyema ukalijua hili mapema ili baadae usione kama software ulizotajiwa hazifanyi kazi.
Zilifutika au zilikuwa corrupted?Nime recover lakini zote hazifunguki hasa audios sijui kuna namna ya kuzi repair?
Leo siku nzima nimehangaika namna ya kuzi repair ili zi play lakini hola
Zilifutika kuna dogo ali load windows na aka format kila kitu, of course viruses walikuwepo sana nime recover data lakini hazifunguki. Je kuna data repair software? Hasa ya audioZilifutika au zilikuwa corrupted?
Na zilikuwa corrupted na virus au?
Umetumia software gani?Zilifutika kuna dogo ali load windows na aka format kila kitu, of course viruses walikuwepo sana nime recover data lakini hazifunguki. Je kuna data repair software? Hasa ya audio
Jaribu kutumia Disk DrillRecuva
Naomba link yake Mkuu ni download baadae
getintopc.com