Msaada: Naomba details kwenye malipo ya uwakala wa mitandao ya simu (Mpesa Mix by Yas, Halopesa )

Msaada: Naomba details kwenye malipo ya uwakala wa mitandao ya simu (Mpesa Mix by Yas, Halopesa )

immortanity

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2024
Posts
859
Reaction score
1,591
Ukituma pesa kwa mteja/kuweka pesa. mteja akitoa pesa .

Malipo kutoka mtandao husika kwa wakala yanakuaje kwa mweźi au ni papo hapo kwa kila muamala? .
mwenye kuelewa msaada tafadhali.
 
wakuu more details tafadhali kwa wajuvi
hizo hizo zinakunywa uingiziwa mwisho wa mwezi.Vida wao wanazinesha mila muamala ukitaka unaangalia jumla ya kamission any time.Tigo wanakuonesha total mila SAA sita usiku
 
Kila muamala unaofanya iwe wa kutoa au kutuma pesa una kamisheni zake ambazo zinakusanywa kwa pamoja na kulipwa mwisho wa mwezi
 
Back
Top Bottom