immortanity
JF-Expert Member
- Nov 8, 2024
- 859
- 1,591
vipi kuhusu ile ya baada ya kufanya muamala inaingia message lamoja na kiasi cha commission. je? ndyo iyo hukusanywa na kutolewa mwisho wa mwezi . naomba nijuze zaid hapoCommission unaipata Kila mwisho wa mwenzi.
God made man..Man made money...money made man mad
hizo hizo zinakunywa uingiziwa mwisho wa mwezi.Vida wao wanazinesha mila muamala ukitaka unaangalia jumla ya kamission any time.Tigo wanakuonesha total mila SAA sita usikuwakuu more details tafadhali kwa wajuvi