MSAADA: Naomba kama naweza kupata gari 0 kilometers au kuagiziwa

[emoji1787][emoji1787]unaanzaje kuagiza kiwandani? Kwamba mawakala huwaoni? Ama unataka lililotengenezwa maalumu kwa ajili yako?

Hata serikali ya Tanzania Hainunui kiwandani,
Inamtumia agent ambaye ni TOYOTA TANZANIA
sembuse mtu binafsi tena kwa gari ya kawaida?
Labda ununue CUSTOMIZED Car yenye jina lako
Kama wanavyofanya kwenye magari ya Kifahari akina Lambogini n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…