Msaada: Naomba kuelekezwa namna ya kuunda Mkataba huu

Msaada: Naomba kuelekezwa namna ya kuunda Mkataba huu

Amri kuu ni Upendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
789
Reaction score
489
Wadau kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu nyingi kwa Wana JF wadau wa jukwaa chili, kwani mwanzo nilijitokeza nikitafuta msaada wa kununua Carry na Amen imekuwa hivyo Nakushuruni kwa hilo.
Leo Wadau baada ya Kupata hii Suzuki- Carry suala linalonisumbua ni namna ya kuunda Mkataba bora ili niutumie kumuajiri dereva. Please nakuombeni utaalamu huo na nitashukuru zaidi mtu akinitumia sample yake kwa PDF. Thanks.
 
Back
Top Bottom