Msaada: Naomba kueleweshwa kuhusu Food science and technology

James simumba

Member
Joined
Sep 26, 2017
Posts
23
Reaction score
5
Jaman naomben ushauli kuusu hiyo coz hapo juu nimechaguliwa nikasomee vip kitaa inalipa please advice...
 
Huku chuoni tunaifahamu kwa jina la course ya chakula au mchele ...

Njoo usome mkuu..course iko fresh but ukumbuke tu haina kujiajiri zaidi ya kuajiriwa kila la kheri mkuu...
 
sasa kama koz Ya food science huwezi kujiajiri ni kozi gani wanaoweza kujiajiri? Yaaaani umalize kozi kisha ushindwe hata kutengeneza keki Ya matukio? birthday? harus?
mbona mbunifu wa usindikaji wa banana ni graduate wa kozi hiyo? to me naona kama this is the best kozi Ya kujiajiri hapa Tz maana tuna ombwe kubwa la usindikaji: matunda, nyama, maharage et cetera
 
Mkuu maisha sio mepesi kama unavyodhania.... maliza kwanza ukija mtaani utajua naongelea nini mkuu... kila la kherii
 
habarini wana JF.
Naombeni mnijuze zaidi kuhusu kozi tajwa hapo juu.
Yaani inahusiana na nini..!
na ukiisoma utafanya kazi za aina gani..!
Na humtanya mtu kuwa nani..?

karibuni kwa mchango wenu.
 
Biotechnology inahusiana na matumizi ya viumbe hai au sehemu za viumbe hai kwa kutengeneza product mpya au kuboresha product zilizopo.

kwa mfano
kutumia yeast katika kuzalisha beer au mvinyo
kutumia bacteria katika kutengeneza dawa (ant-biotics)
kutengeneza mbegu za mazao zinazozaa kwa wingi na kuvumilia magonjwa

Sehemu unayoweza kufanya kazi ni katika maabara za research na ugunduzi ila maabara ya binadamu na wanyama unaweza ingawa bado hawana leseni
 
asant Mkuu lakini nilihitaji unieleze kuhusu bsc ya food science and technology mkuu
 
Ahaa sawa ila kwa kifupi ni kwamba hizo kazi food science anaweza kufanya isipokuwa kufanya kazi maabara za binadamu na wanyama

Ila laboratories za viwanda vya vyakula kama TBL, Azam na n.k, vile vile anaweza kufanya kazi TBS na TfDA. Ni hayo tu ninayofahamu kwa uchache wake,
 
Kozi-ya-USINDIKAJI-CHAKULA.jpg
 
Back
Top Bottom