James simumba
Member
- Sep 26, 2017
- 23
- 5
Jaman naomben ushauli kuusu hiyo coz hapo juu nimechaguliwa nikasomee vip kitaa inalipa please advice...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kama koz Ya food science huwezi kujiajiri ni kozi gani wanaoweza kujiajiri? Yaaaani umalize kozi kisha ushindwe hata kutengeneza keki Ya matukio? birthday? harus?Huku chuoni tunaifahamu kwa jina la course ya chakula au mchele ...
Njoo usome mkuu..course iko fresh but ukumbuke tu haina kujiajiri zaidi ya kuajiriwa kila la kheri mkuu...
Mkuu maisha sio mepesi kama unavyodhania.... maliza kwanza ukija mtaani utajua naongelea nini mkuu... kila la kheriisasa kama koz Ya food science huwezi kujiajiri ni kozi gani wanaoweza kujiajiri? Yaaaani umalize kozi kisha ushindwe hata kutengeneza keki Ya matukio? birthday? harus?
mbona mbunifu wa usindikaji wa banana ni graduate wa kozi hiyo? to me naona kama this is the best kozi Ya kujiajiri hapa Tz maana tuna ombwe kubwa la usindikaji: matunda, nyama, maharage et cetera
Biotechnology inahusiana na matumizi ya viumbe hai au sehemu za viumbe hai kwa kutengeneza product mpya au kuboresha product zilizopo.habarini wana JF.
Naombeni mnijuze zaidi kuhusu kozi tajwa hapo juu.
Yaani inahusiana na nini..!
na ukiisoma utafanya kazi za aina gani..!
Na humtanya mtu kuwa nani..?
karibuni kwa mchango wenu.
asant Mkuu lakini nilihitaji unieleze kuhusu bsc ya food science and technology mkuuBiotechnology inahusiana na matumizi ya viumbe hai au sehemu za viumbe hai kwa kutengeneza product mpya au kuboresha product zilizopo.
kwa mfano
kutumia yeast katika kuzalisha beer au mvinyo
kutumia bacteria katika kutengeneza dawa (ant-biotics)
kutengeneza mbegu za mazao zinazozaa kwa wingi na kuvumilia magonjwa
Sehemu unayoweza kufanya kazi ni katika maabara za research na ugunduzi ila maabara ya binadamu na wanyama unaweza ingawa bado hawana leseni
Ahaa sawa ila kwa kifupi ni kwamba hizo kazi food science anaweza kufanya isipokuwa kufanya kazi maabara za binadamu na wanyamaasant Mkuu lakini nilihitaji unieleze kuhusu bsc ya food science and technology mkuu