Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achukue gari, dunia kama kijijiSina uzoefu nazo ila nimewahi kusikia kuwa kwa haoa kwetu upatikanaji wa spare zake ni changamoto sambamba na bei ya spare! Kama una connection nzuri ya kuzipata sio ishu sana maana ni gari kubwa with very low price! Hasa hiyo model uliyoweka nadhani ni ya 2008 hiyo
Sawasawa BossSina uzoefu nazo ila nimewahi kusikia kuwa kwa haoa kwetu upatikanaji wa spare zake ni changamoto sambamba na bei ya spare! Kama una connection nzuri ya kuzipata sio ishu sana maana ni gari kubwa with very low price! Hasa hiyo model uliyoweka nadhani ni ya 2008 hiyo
Yeah! Nyakati za kuiogopa gari kwa sababu ya upatikanaji wa spare zimeshapitaAchukue gari, dunia kama kijiji
Tatizo watu hawajafikia kumilik Gari wanakurupukaYeah! Nyakati za kuiogopa gari kwa sababu ya upatikanaji wa spare zimeshapita
Kwa uzoefu wangu mdogo wa magari Mitsubishi wanafail sana kwenye gari ndogo kuanzia kipindi kile cha Mitsubishi RVR. Gari SUV imara kwa Mitsubishi ni Pajero hasa zile za zamani. Hizi za kisasa sina imani nazo sanaRoute za mjini
Mara chache mwanza-Dar mwanza-Manyara, Arusha na Moshi
Sio kweli mkuu, Mitsubishi ni gari nzuri sana na Imara kuliko hata Toyota. Ninamiliki Mitsubishi L200 Spotero D.I.D na L200 kavu mwaka wa 8 huu. Pia Nina Toyota Hilux D4D so Nina uzoefu na nilichoandikaMitsubishi sio gari aiseee muda si mrefu utasaga meno kwani Toyota huzioni
Kamanda moshi embu share zaid. Hizo outlander na rvr kwa barabara zetu za kiafrika zina perform vizuri kweli?Sio kweli mkuu, Mitsubishi ni gari nzuri sana na Imara kuliko hata Toyota. Ninamiliki Mitsubishi L200 Spotero D.I.D na L200 kavu mwaka wa 8 huu. Pia Nina Toyota Hilux D4D so Nina uzoefu na nilichoandika
Hongera mzee,Outlander ni gari nzuri sana hapa napoandika nimetoka kuichukua, aseee nukichelewa sanaaa.
Music bomba, HP kubwa.
Nimekuelewa mkuu, ila sijaagiza kwa kukuruupuka kuna rafiki yangu anayo muda sana na iko poa miaka minne sasa.Hongera mzee,
Ila kila kitu huwa kinakuwaga machachari wakati wa kuanza, ila kikisha kaa, ndio unaanza kuona machungu yake
Labda, pengine ungesubiri hata 3 months hivi atleast ndio uturudie na mrejesho