Kauvimbe tena[emoji15]Za leo ndugu wapendwa ninaomba msaada wenu ni na dalili za mimba ila nimeona siku zangu miezi miwili mfululizo na mwezi wa kwanza nilipima sikua na mimba maziwa yanakua yamoto nahisi maumivu kwa mbali sana na kauvimbe ka mbali sitapiki sihisi kichefuchefu ila mwanzo nilikua nalala sana je ninauwezekano wa kua na mimba
Ni dalili zip za mimba uzionazo kwa mjibu wa maelezo yako? Hebu funguka ndgZa leo ndugu wapendwa ninaomba msaada wenu ni na dalili za mimba ila nimeona siku zangu miezi miwili mfululizo na mwezi wa kwanza nilipima sikua na mimba maziwa yanakua yamoto nahisi maumivu kwa mbali sana na kauvimbe ka mbali sitapiki sihisi kichefuchefu ila mwanzo nilikua nalala sana je ninauwezekano wa kua na mimba
Nahisi maziwa kama yanajaa pia yanakua yamoto pia naenda haja ndogo sana na mwezi mmoja umepita nilikua nikilala sana natoka na ute mwepe sehemu za siri lakini nikipima haionikaniNi dalili zip za mimba uzionazo kwa mjibu wa maelezo yako? Hebu funguka ndg
Mhuuu ulitaka nikuite ili unichagulie style au usipede my complicate mambo aisee msaada toa ukijisikia huwezi kaa kimya maneno ya shomboMbona siku ya shughur hukutujuza, sasa unatwaambia kwamba ulisex unsafely in danger days ili iweje?
Acha maneno ya shombo dear kua mstaarabuMhuuu ulitaka nikuite ili unichagulie style au usipede my complicate mambo aisee msaada toa ukijisikia huwezi kaa kimya maneno ya shombo
Vipimo vya kawaida inaonyesha sina na sehemu nilipo wana compicate sana mambo nchi za kiarabu mpzSi ukapime tu