Msaada: Naomba kufahamu dalili za mimba

Msaada: Naomba kufahamu dalili za mimba

Peppa

Member
Joined
Feb 4, 2018
Posts
5
Reaction score
1
Za leo ndugu wapendwa ninaomba msaada wenu ni na dalili za mimba ila nimeona siku zangu miezi miwili mfululizo na mwezi wa kwanza nilipima sikua na mimba maziwa yanakua yamoto nahisi maumivu kwa mbali sana na kauvimbe ka mbali sitapiki sihisi kichefuchefu ila mwanzo nilikua nalala sana je ninauwezekano wa kua na mimba
 
Kauvimbe tena[emoji15]
 
Mbona siku ya shughur hukutujuza, sasa unatwaambia kwamba ulisex unsafely in danger days ili iweje?
 
Ni dalili zip za mimba uzionazo kwa mjibu wa maelezo yako? Hebu funguka ndg
 
Nahisi maziwa kama yanajaa pia yanakua yamoto pia naenda haja ndogo sana na mwezi mmoja umepita nilikua nikilala sana natoka na ute mwepe sehemu za siri lakini nikipima haionikani
 
Mbona siku ya shughur hukutujuza, sasa unatwaambia kwamba ulisex unsafely in danger days ili iweje?
Mhuuu ulitaka nikuite ili unichagulie style au usipede my complicate mambo aisee msaada toa ukijisikia huwezi kaa kimya maneno ya shombo
 
Acha maneno ya shombo dear kua mstaarabu
 
Back
Top Bottom