Msaada: naomba kujua Ada vyuo vikuu vya serikali

Msaada: naomba kujua Ada vyuo vikuu vya serikali

Wasalaam wakuu......
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza waungwana naomba kujuzwa Ada kwa vyuo vikuu vya serikali ni kiasi gani kwa undergraduate degree program yaani ile tunasemaga digrii
ni ndogo sana, ni kama hizi tunalipia watoto wetu shule za english medium, nalipia watoto 6 primary. ada inazidi hata wale wa chuo.
 
Back
Top Bottom