Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Nyumba yangu kuna popo wanajificha kwenye mbao nilizoezekea. Wanakera sana, nitumie dawa gani jamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofisi Yako Iko wapi?Dawa ziko nyingi, japo Kwa ushauri ni Bora ukafanya farmigation nyumba nzima ili uondoe kabisa ao wadudu, dawa hizo ni kama
(dudu all, fly killer, nogozone ec,NUVAN 500ec, driver 500ec)
Mimi pia nauza hizi na kufanya farmigation kwenye ofisi na majumbani, karibuni sana..
Umepiga fisher boards? Nilikuwa na hili tatizo ila niliamua kupiga Fisher boards likaisha lakini siku ya kupiga Fisher boards fundi alipanda juu kuwafukuza.Nyumba yangu kuna popo wanajificha kwenye mbao nilizoezekea. Wanakera sana, nitumie dawa gani jamani?
Fisherbord imepigwa ila wanapenye kwenye bati ya migongo mikubwa na midogoUmepiga fisher boards? Nilikuwa na hili tatizo ila niliamua kupiga Fisher boards likaisha lakini siku ya kupiga Fisher boards fundi alipanda juu kuwafukuza.
Ofisi ziko kibaha, mailimoja japo huduma tunatoa sehemu yoyote nchini, ni mawasiliano tu na jinsi Gani tutazungumza..Ofisi Yako Iko wapi?