Msaada:Naomba kujuzwa gharama za kusajili daladala

Msaada:Naomba kujuzwa gharama za kusajili daladala

sengahu

Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
49
Reaction score
15
A,alykum mabibi na mabwana,wakuu nilikuwa naomba msaada wa kujuzwa jinsi ya kusajili vibali vya daladala kosti yake ni kiasi gani na njiagani nifuate ili niweze kufanikiwa kuvipata .Nashkuru kwa wote ntakao nisaidia kufanikisha hili
 
Kwanza sema upo Mkoa gani.
Umevyoandika hakuna anaejua upo wapi.
Halafu pia sema aina gani ya gari unayotumia.Coaster,Hiace Dungu au Hiace kipaka.

Hapo utakuwa umetoa mwanya kwa wenye uelewa kukusaidia Mkuu
 
Fafanua pia kama ni gari la mwendo kasi au la? maana kama upo dar hii nayo ni issue.
 
Kwanza sema upo Mkoa gani.
Umevyoandika hakuna anaejua upo wapi.
Halafu pia sema aina gani ya gari unayotumia.Coaster,Hiace Dungu au Hiace kipaka.

Hapo utakuwa umetoa mwanya kwa wenye uelewa kukusaidia Mkuu
Ohh samahani mkuu kwa kutoelezea vizuri nipo Dar na aina ya garia ni DCM
 
Kwanza sema upo Mkoa gani.
Umevyoandika hakuna anaejua upo wapi.
Halafu pia sema aina gani ya gari unayotumia.Coaster,Hiace Dungu au Hiace kipaka.

Hapo utakuwa umetoa mwanya kwa wenye uelewa kukusaidia Mkuu

siku hizi umeacha kuuza karafuu una deal na magari?????
 
Back
Top Bottom