Msaada: Naomba kujuzwa jina la wimbo huu

Msaada: Naomba kujuzwa jina la wimbo huu

mfirigisi

Senior Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
115
Reaction score
50
Nani kaimba huu wimbo? jina la wimbo linaitwaje?
nimeusikia mara moja tu kwenye redio...hebu nisaidieni

verse niliyoshika
Unajua Watoto wa MJINI MAPENZI Kwao ni Utani Leo Unamtekenya Kesho Unamuita gizani

Thaman ya Vyuma Chakavu ndo PENZI Langu...
 
Jamaa ni mkali wa utunzi aseee...anajua kupangilia maneno balaa...huu wimbo unaitwa nami nimo ni mkali balaa wa kuchezeka....jamaa ana nyimbo nyingi kali zaidi ya huu ni noma sana aseee sijui kwa nn hapewi tuzo ya mtunzi bora....thamani ya penzi langu asini delete mi fukara sina mabavu penzi langu lisiwe hadithi....kila akitaja nami nimo mapenzi ya nipe na mimi...kila akitaja nami nimo mapenzi ya nipe na mimiiiiiii.........aseee mavoko ni almasi mchangani......
 
Back
Top Bottom