Jamaa ni mkali wa utunzi aseee...anajua kupangilia maneno balaa...huu wimbo unaitwa nami nimo ni mkali balaa wa kuchezeka....jamaa ana nyimbo nyingi kali zaidi ya huu ni noma sana aseee sijui kwa nn hapewi tuzo ya mtunzi bora....thamani ya penzi langu asini delete mi fukara sina mabavu penzi langu lisiwe hadithi....kila akitaja nami nimo mapenzi ya nipe na mimi...kila akitaja nami nimo mapenzi ya nipe na mimiiiiiii.........aseee mavoko ni almasi mchangani......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.