Msaada!! Naomba kujuzwa mtu hurefuka muda gani au saa ngapi!!

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Wakuu poleni na harakati!!
Nimeulizwa swali ba dogo nikashindwa kujibu!!
Hivi wakuu binadamu hukua mda gani kwa sababu mi juzi kuna kamba ya kuanikia nguo nilikuwa siifikii sasa juzi nimeenda kujipimisha pale nakuta eti nimeipita urefu!!!
 
Hahhaha wa stend bwana! huwa unanifurahisha, naweza sema ndio mwana jamiiforums comedy humu ndani. BTW ninavyoamini Mungu hufanya miujiza yake wakati wa utulivu, na pia naamini ndio muda mzuri wa kuomba kwa Mungu wako ambao ni saa 7 mpaka saa 8 usiku. Na muda huu ndio mimea mbalimbali huwa inakuwa na kuchanua.
Ni Mtazamo wangu wa Kiimani ila sio mawajawabu mujalabu
 
Sasa mkuu hapo anaanza kurefuka nini sasa yaani miguu!! Au ni mikono au ni shingo au ni mgongo!!yaani nipatwaga taabu nikijiuliza ujue[emoji134] [emoji134]
 
Ni kama unavyopanda mahindi shamban kwan yanarefuka saa ngap
 
Shida gani tena mkuu!![emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
"Juzi kuna kamba ya kuanika nguo nilikua sifikii" halafu juzi hiyo hiyo ukaenda kujipimisha pale ukakuta umeipita kamba urefu ......dah msalimie swahiba wako K4Life
 
Huwezi amini huyo k4 life mimi simjui kwa nza mimi nimejiunga juzi hata mwaka sina ndio kwanza mwezi namaliza nadhani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwani huyo k4 yupoje au alikuwaga na nini labda!
 
Hajui kusoma ila anaweza kuandika
 
Watu tunarefuka usiku wakati wa fotosinsesis,ama kipindi tunatembea na hurefuka zaidi wakati wa kukimbia,pia wakati tuna hasira ama tunapolia,pindi tuendapo haja(yoyote kubwa ama ndogo) na pindi tuwapo na njaa.......ukikosa hivyo vyote hurefuki asilani.
 
Wakuu poleni na harakati!!
Nimeulizwa swali ba dogo nikashindwa kujibu!!
Hivi wakuu binadamu hukua mda gani kwa sababu mi juzi kuna kamba ya kuanikia nguo nilikuwa siifikii sasa juzi nimeenda kujipimisha pale nakuta eti nimeipita urefu!!!
Asubuhi asubuhi hivi hasa wakati unakojoa
 
Neno!nikiwa Olevel nilikua nasoma mpk iyo mida ya nane from saa nne au tisa mpk 11 ivi...unaelewa sana hata inshu iwe jiwe vipi!! Lazima utusue,na pia hua nilikua nautumia pia kusali nakuomba at maswali flan yatoke km nina pepa na kweli nakutana nayo na natusua km kawaida! Mungu ni mwema sana
 
Kwetu tulikuwa tunawaita mabundi au vyunda.....unasoma hadi 11 alfajiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…