Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanifurahisa sana maswali yako.. Lakini big up naona unatumia ubongo ipasavyo.. Mi mwenyew hilo swali linanipiga chengaShida gani tena mkuu!![emoji2] [emoji2] [emoji2]
"Juzi kuna kamba ya kuanika nguo nilikua sifikii" halafu juzi hiyo hiyo ukaenda kujipimisha pale ukakuta umeipita kamba urefu ......dah msalimie swahiba wako K4Life
Hajui kusoma ila anaweza kuandikaHuwezi amini huyo k4 life mimi simjui kwa nza mimi nimejiunga juzi hata mwaka sina ndio kwanza mwezi namaliza nadhani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwani huyo k4 yupoje au alikuwaga na nini labda!
Asubuhi asubuhi hivi hasa wakati unakojoaWakuu poleni na harakati!!
Nimeulizwa swali ba dogo nikashindwa kujibu!!
Hivi wakuu binadamu hukua mda gani kwa sababu mi juzi kuna kamba ya kuanikia nguo nilikuwa siifikii sasa juzi nimeenda kujipimisha pale nakuta eti nimeipita urefu!!!
Neno!nikiwa Olevel nilikua nasoma mpk iyo mida ya nane from saa nne au tisa mpk 11 ivi...unaelewa sana hata inshu iwe jiwe vipi!! Lazima utusue,na pia hua nilikua nautumia pia kusali nakuomba at maswali flan yatoke km nina pepa na kweli nakutana nayo na natusua km kawaida! Mungu ni mwema sanaHahhaha wa stend bwana! huwa unanifurahisha, naweza sema ndio mwana jamiiforums comedy humu ndani. BTW ninavyoamini Mungu hufanya miujiza yake wakati wa utulivu, na pia naamini ndio muda mzuri wa kuomba kwa Mungu wako ambao ni saa 7 mpaka saa 8 usiku. Na muda huu ndio mimea mbalimbali huwa inakuwa na kuchanua.
Ni Mtazamo wangu wa Kiimani ila sio mawajawabu mujalabu
Kwetu tulikuwa tunawaita mabundi au vyunda.....unasoma hadi 11 alfajiri?Neno!nikiwa Olevel nilikua nasoma mpk iyo mida ya nane from saa nne au tisa mpk 11 ivi...unaelewa sana hata inshu iwe jiwe vipi!! Lazima utusue,na pia hua nilikua nautumia pia kusali nakuomba at maswali flan yatoke km nina pepa na kweli nakutana nayo na natusua km kawaida! Mungu ni mwema sana