Mimi ni qs kiukweli kwa hapo ntashindwa kukupa ghalama halisi kama cna vipimo vya hyo nyumba...Habari za kwenu wanajamvi,
Nakuja hapa nikiomba ushauri/msaada wa dhati kabisa juu ya ujenzi nini 15 million ya kumalizia vitu vichache jw itatosha na kwa sasa najua wengi wenu humu mna uzoefu na mafundi mpo humu, kwa mtu anaejua naomba kujuzwa nyumba yangu ina ukubwa wa 14.6*12.3 Squaremita na vyumba vinne, sasa nipo kwenye hatua ya finishing naomba msaada wa kujua nyumba ya namna hii yenye vyumba vinne je gharama zikoje katika hatua hizi hapo chini
Blundering
Kupiga plasta
Kufanya plumbing
Kuweka tiles
Wiringi
Kupiga rangi
Madirisha ya aluminium
Naomba usaidizi gharama za mafundi na materials zikoje?
Mimi ni qs kiukweli kwa hapo ntashindwa kukupa ghalama halisi kama cna vipimo vya hyo nyumba...
Fanya makadirio tu eneo zima la nyumba ni 14.6*12.3 Squaremita vyumba vinne......labda ngoja nikupe hivi vipimo labda vinaweza saidiaMimi ni qs kiukweli kwa hapo ntashindwa kukupa ghalama halisi kama cna vipimo vya hyo nyumba...
Yah naona alitaka kujua labda na ukubwa wa rooms, karibu pia kwa ushauri hiyo 15M itanisogeza au nipe makadirio yako maana kila mtu na uwelewa wake, hasa gharama za mafundi mngenisaidia ingekuwa poa halafu material nafanya quotations sehemu mbalimbaliMate..
mbona katoa vipimoo 14m x 12m
Dirisha moja la aluminium 150cm*150cm bei huwa 230,000-250,000. Likizidi ukubwa huo mnaelewana na fundi. Kwa madirisha yako 11 andaa angalau 3mMadirisha 11 yenye size hizo hapo, hivi grill moja ni bei gani makadirio View attachment 776656
Tiles inategemea unataka Spanish au Mchina.Tuwasubiri
Yah sky hapa nataka niweke vipaumbele maana kupaua tayari 80% of construction it has been done, nasubiri hiyo finishing na naweka vipaumbele ili niweze hamia mara moja so nina hiyo amount, tatizo mafundi wanapiga sana nataka kujua pia bei halisi za mafundi ili niepushe matumizi yasio muhimuWeka floor, Fanya blumbing, milango na madirisha ikiwezekana hamia. Mengine utamaliza taratibu.
Hilo ni dirisha tu. Grill nayo inategemea unaweza kupata kwa 120,000-200,000 inategemea na flat bars za 4mm au 6mm na urembo uliowekwa. Kifupi grill na dirisha inaweza kuwa 400,000/-Okey mbaba so hapo 230k ya size 5*5 ni pamoja na grill na aluminium plus
15m unahamia bila wasiwasi.Yah sky hapa nataka niweke vipaumbele maana kupaua tayari 80% of construction it has been done, nasubiri hiyo finishing na naweka vipaumbele ili niweze hamia mara moja so nina hiyo amount, tatizo mafundi wanapiga sana nataka kujua pia bei halisi za mafundi ili niepushe matumizi yasio muhimu
Haupo nje ya mada mamitoo, mbona mchango wako mzuri na paa tayari nilishaweka, nimebaki na hela ya finishing phase na ndiyo mziki, sasa hapa ni vipaumbele ndiyo nataka kuviweka sasa nataka kujua gharama za mafundi na hata materialsHaitaweza kufanya hayo yote mkuu.
Ila naomba niwe nje ya mada yako nikushauri uanze na:
1. kufanya hiyo pulambaringi
2. wayaringi
3.plasta
4. Bulandaringi
5.Rangi
6. Madirisha ya aluminiamu
7. Vigae ndio kazi ya mwisho kabisa. na wanafanya hivyo ili kuepuka kudondokewa na rangi au hata nyundo au chochote wakati kazi zingine zinaendelea.
Hiyo 15m fanya kwa kufuata huyo mtiririko mpaka itakapoishia