Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prondo Kiwanja miguu 26*27 kwa fensi, fundi anaweza chaji bei gani, bila kupiga plasta ni atachorea tu zile tofali na kuweka mkanda juu, wataalam wengine msaada kwenye hili, Prondo pita hapa bossMimi niliweka Mchina grade one, 50*50 mwaka wa pili huu zipo vile vile.
Hapo mlipe kwa tofali(kujenga tofali moja 300-400), mkanda mtakubaliana.Prondo Kiwanja miguu 26*27 kwa fensi, fundi anaweza chaji bei gani, bila kupiga plasta ni atachorea tu zile tofali na kuweka mkanda juu, wataalam wengine msaada kwenye hili, Prondo pita hapa boss
Fence pasua kichwa kweli. Hapo ina maana kwa tofali ni kama 1.2m negotiate nae isizidi 1m. Usimtajie hesabu ya tofali. In case akitoa quotation kuzidi 1.2m mpe bei elekezi Kwa tofali.Kaniambia ni tofali 4116? So nipige mara 300 sio, je msingi nitakadiriaje?
Nashukuru mzee, alishaanza kunipa bei za milion 3.4 [emoji23][emoji23],Fence pasua kichwa kweli. Hapo ina maana kwa tofali ni kama 1.2m negotiate nae isizidi 1m. Usimtajie hesabu ya tofali. In case akitoa quotation kuzidi 1.2m mpe bei elekezi Kwa tofali.
Msingi kama ukuta tu.
nyumba ya vyumba vinne
mifuko 5 ya gypsum powder@25,000
white enamel ndoo 3-4@35,000
white cement mfuko 1-2 @35,000
ufundi
skimming 200,000
Rangi nje
white enamel ndoo 1 na nusu@35,000
binder ndoo 1@90,000
weatherguard ndoo 1 na nusu@140,000 +75,000
rangi ya fishabodi kopo2 za lita4@16,000
rangi ya grill kopo 2 za lita4@16,000
Rangi ndani
white enamel ndoo 3@35,000
primer ndoo 2 @ sikumbuki bei
silk ndoo 2 @140,000
Ufundi laki 350,000
N.b: Huyo ni fundi wa mkoani mkuu ndio alinifanyia mimi nyumba vyumba 4
na hizo bei za rangi ni huku mkoani mkuu nyie wa dar mna bei zenu
Rangi minimum 2.5m hahahahahaha hivi we umejenga kweli au unaropoka tu??Kama keshaezeka ujue he still have long way to go. Yaan in short umemaliza asilimia 40 ya ujenzi. Hapo ndo ujenzi umeanza, finishing huwa inakula sana pesa. Weka milion4.5 gril za madirisha na vioo vyake, blqndaring na gypsum weka 3m, lipu nje ndani 2.5m, rangi nje ndani, inategemeana na rangi gani unaweka ila min 2.5+m, umeme minimum1m maji 1.5 to 2m nimetaja hizi bei zote ni kiwango cha chini sana
Hahahahaha jamaa sound sana, anakwambia ripu 2.5 hahahahaahaAcha kuropoka wewe. Ana madirisha 11 grill moja kaambiwa 150,000 jumla ni 1,650,000.
Nyinyi ndio huwa mnajisifu nimejenga nyumba ya 100m mtu akiangalia haoni cha 100m kumbe umepigwa tu.
una weza kufanya wiring kabla ya blundering?I though wakati wa wiring nyaya nyingi zinaapita juu. Ufafanuzi tafadhaliDada ametoa mtiririko sahihi. Fanya plumbing,wiring,blundering,fremu za milango, weka grill,rough floor halafu piga plaster,piga rangi,weka vyoo,madirisha ya wavu,milango hapo ukiamua unahamia.
Unaweza kwasababu wire zinalala kwenye mbao za paa.una weza kufanya wiring kabla ya blundering?I though wakati wa wiring nyaya nyingi zinaapita juu. Ufafanuzi tafadhali
Unaweza kwasababu wire zinalala kwenye mbao za paa.
ingia pinterest.com jamaa wana idea nyingi mnoo unachagua mwenyewAmani iwe kwenu wakuu
Naomba msaada, setting room yangu inaukubwa wa 5×6=sq30 naomba mwenye designing nzuri ya blundering aweke hapa nifanye maamuzi.
mkuu naomba unisaidie garama ulizo tumia maake mwenye na rquirement kama zako fundi kanipa estimation mhh hatreeWiring nipo kwenye phase B
, phase A tayari na walishachimbia kwenye ukuta hizo conduct pipe, na material ya phase B ni Wire6mm,4mm,1.5mm,2.5mm switch zote,circuit break tronick, 1 gain 1 way, 3gain 2 way vyote hivi tayari nimeshanunua sasa swali ni hivi wakati wa kusuka wire kwenye roof nifanye ya surfaces au nitumie conduct pipe.... Maana ya surface nimeona isijeleta shida kwa kuliwa na panya hizo wire mbeleni au sio rahisi, maana kutumia tena pipe juu wakati wa kusuka naona ni gharama aiseeehhh nisije toka kwenye railway