Msaada: Naomba kupewa gharama za hatua hizi za ujenzi

Ina depend na viwango vya finishing.... Diridha moja tu lenye wa wastani wa size hizo double glass, frame za pvc si chini ya laki 8-9
 
Haupo nje ya mada mamitoo, mbona mchango wako mzuri na paa tayari nilishaweka, nimebaki na hela ya finishing phase na ndiyo mziki, sasa hapa ni vipaumbele ndiyo nataka kuviweka sasa nataka kujua gharama za mafundi na hata materials
Dada ametoa mtiririko sahihi. Fanya plumbing,wiring,blundering,fremu za milango, weka grill,rough floor halafu piga plaster,piga rangi,weka vyoo,madirisha ya wavu,milango hapo ukiamua unahamia.
 
Sijakulewa kidogo mkuu, 8-9 kwa idadi gani, na je ni grill na aluminium
 
Haupo nje ya mada mamitoo, mbona mchango wako mzuri na paa tayari nilishaweka, nimebaki na hela ya finishing phase na ndiyo mziki, sasa hapa ni vipaumbele ndiyo nataka kuviweka sasa nataka kujua gharama za mafundi na hata materials
Mafundi bei zao ni "negotiable". Kwa mfano hapo kwenye plumbering kama uko "Daa" unaweza kuangalia angalia vijana wa DAWASCO wanakufanyia kwa bei nzuri.
Mimi niko Mwanza, ungekuwa Mwanza ningekuunganisha na mafundi wa vitu vyote hivyo kwa bei ambayo haikuumizi wewe wala yeye (mutual bei).
 
fanya kimoja at a time, ukipewa gharama unaweza kukata tamaa, unajua siku hizi qualities zinatofautiana sana. ni vigumu sana kupewa gharama zinazo karibia ukweli bila kufanya mahojiano ya kina. mbona umesahau mabati?
Exactly...?? Tena afanye window shopping za kutosha, kabla ya kufanya manunuzi, mimi nilikimbilia kwa wa Spanish pale... Nimekuja kuona tiles zingine super nikachoka kabisa
 
Mabati nilisha paua mkuu nikitumia IT5 mgongo mpana colour O/E hapo ndipo palinimaliza hela ila God is good nimeshapita hiyo stage, hapa nawaza hivyo vipaumbele nilivyoviweka juu
 
umepataje hizo hela kipindi hiki
 
Tembelea maduka wewe mwenyewe. Tronic nzuri. Kwa nyumba zetu watu wa chini huwezi kuwaepuka wachina ila unaangalia mchina kiwango kizuri kidogo. Tembelea maduka ya Kariakoo mwenyewe utajua bei.
 
Je utofauti wa PVC na hizi Aluminium ni upi kwenye usalama?

Je nikiweka PVC sina haja ya kuweka grills?
 
Japo nisaidie kujua figure ili nifanye mlinganisho na mafundi naokutana nao
 
Exactly...?? Tena afanye window shopping za kutosha, kabla ya kufanya manunuzi, mimi nilikimbilia kwa wa Spanish pale... Nimekuja kuona tiles zingine super nikachoka kabisa
Marumaru gani nzuri i mean brand wise
 
Dada ametoa mtiririko sahihi. Fanya plumbing,wiring,blundering,fremu za milango, weka grill,rough floor halafu piga plaster,piga rangi,weka vyoo,madirisha ya wavu,milango hapo ukiamua unahamia.
Marumaru ni baada ya kufanya yote si ndiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…