Msaada: Naomba materials ya kujifunza electric domestic wiring/ wiring ya umeme wa nyumbani

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
967
Reaction score
668
Habari wanajamvi, nimetokea kuwa na interest na maswala ya umeme hasa huu wa nyumbani, natamani nijue jinsi unavyofanya kazi na jinsi navyoweza kuunga nyaya(kufanya wiring) kuanzia jinsi umeme unavyoingia kwenye mita na unavyoendelea mbele.

Nataka niwe expert ili nami nianze kufanya wiring kwenye nyumba na kufanya marekebisho, troubleshooting and resolution of faults. Kwahiyo kwa yeyote mwenye materials (e-books or any kind of it) anipatie au mwenye anajua site nzuri ninayoweza kujifunza hii kitu please I humbly request for that.

Naomba kuwasilisha.
 
Nenda PDF drive free download Andika Electrical installation au wiring, au electrical engeering books by J. birds.hata play store kuna apps nyingi za electrical tena zina michoro mizuri.
 
Thanks man!

Ni muhimu kutafuta fundi umlipe.Mkisuka nyimba mbili tatu tayari utaelewa huku ukijiendeleza katka mitandao na kuso.a vitabu,don't forget you tube kuna video nyingi sana za mambo hayo.
Umeme wa majumbani unavitu kama 4 . Tanesco mmita earth rode,main switch +circuitry breaker , na house circuits. Unatakiwa ujue Size za nyaya na fifaa vitakavyotumika na power zake( fan in fan out).
Ukijua vizuri hayo mtafute mtu electronics au electrical engineer akufundishe Circuits analysissi(Norton,thevenib na kirchhoff s law) .Hapo unaweza dizaini hata umeme wa ghorofa.Domestic installation sio ngumu ila umakini unatakiwa kwa sababu umeme unaua.Kama itashindwa kupata msaada uni pm mwezi march nikutumie vitabu vya kutosha vya umeme ila unatakiwa uje na basics walau ya physics o- level , kuna mahala nimesahau adoptor na orodho ipo ktk computer.
Nilia hidi watu humu JF Nita anzisha somo la introduction to electronics kwa kiswahili, bado napambana kutafuta kamera ili niweze kutimiza hio ndoto na wengi waweze kujifunza.
Wahindi na wazungu wame up load video nyingi sana za sayansi subjects ila sisi waswahili bado sana, hivyo usife moyo pambana.
 
Dah nashukuru sana kaka, na natamani sana nivipate hivyo vitabu.
 
Nenda PDF drive free download Andika Electrical installation au wiring, au electrical engeering books by J. birds.hata play store kuna apps nyingi za electrical tena zina michoro mizuri.
Braza, afu hicho kitabu nimedownload ila naona kuna circuits tu zile basic ( schematic ) japokuwa nyingine complex ila haina hata chembe ya mafunzo ya domestic installation!
 
Umeishia kidato gani, fani gani? .
Hicho kimoja imeidha kidownload?
Ninavyo vina fika GB NNE uandae vocha au nta scan title zote udownload mwenyewe.
Nimeishia Form six, mi nadhani nahitaji mafunzo ya domestic installation sasa! Nitumie hivyo vitabu chonde!
 
Braza, afu hicho kitabu nimedownload ila naona kuna circuits tu zile basic ( schematic ) japokuwa nyingine complex ila haina hata chembe ya mafunzo ya domestic installation!
Domestic installation ni circuits kama circuits zingine.Basic circuits usiipuze ndio msingi wa complex circuits .Hixo series na parallel circuits za darasa LA saba ndio zinazosukwa kwenye nyiumba kilichoongezeka hapo ni main switch, kikata umeme.OK nimesema sina adaptor ntakaporudi nilipoiacha ntakutumia hicho nilikuwa ninakikumbuka kichwani.Kama unaweza kukitafuta kitabu maarufu cha Advance physics wanatumiaga Kitacho cha tano na sita kuna hio circuit.
 
Ok poa kaka
 
Nimeishia Form six, mi nadhani nahitaji mafunzo ya domestic installation sasa! Nitumie hivyo vitabu chonde!
Umesoma kombi gani? Kuna mwingine aliniambia eti kasoma chuo.Nikamuuliza hebu ntajie aina mbili za transistor akachemka nikamuona n mbambaishaji nikampotezea maana ningepoteza bando yangu bure.
 
Back
Top Bottom