Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
- Thread starter
- #21
Mi nilisoma PCM Minaki nilimaliza 2015, ila sikufich nilikuwa mzugaji sana na mambo ya electricity ya advance siwez kukumbuka sana ila nikisoma vitabu na kurivise inaweza kuwa poa!Umesoma kombi gani? Kuna mwingine aliniambia eti kasoma chuo.Nikamuuliza hebu ntajie aina mbili za transistor akachemka nikamuona n mbambaishaji nikampotezea maana ningepoteza bando yangu bure.