Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Ka-idea kapo kidogoUna idea nao hata kidogo?
Hahahahaha afu we jamaa umeshabadilisha DP ila bado kwenye gari (huenda ni lile lile)
Nenda PDF drive free download Andika Electrical installation au wiring, au electrical engeering books by J. birds.hata play store kuna apps nyingi za electrical tena zina michoro mizuri.
J. Birds, huyu ndio mdogo ake Tesla au 😃😃😃😃Thanks man!
PambanaKa-idea kapo kidogo
Poa poa manPambana
Ukisuka nyumba yoyote lazima ikaguliwe na mhandisi na atoe kibali, hivyo kazima awe karibu na wahandisi was umeme.Mafundi kazi yao kusuka na mhandisi kukagua.Hala hala usije kutuunguzia nyumba zetu[emoji23]
Dah nashukuru sana kaka, na natamani sana nivipate hivyo vitabu.Ni muhimu kutafuta fundi umlipe.Mkisuka nyimba mbili tatu tayari utaelewa huku ukijiendeleza katka mitandao na kuso.a vitabu,don't forget you tube kuna video nyingi sana za mambo hayo.
Umeme wa majumbani unavitu kama 4 . Tanesco mmita earth rode,main switch +circuitry breaker , na house circuits. Unatakiwa ujue Size za nyaya na fifaa vitakavyotumika na power zake( fan in fan out).
Ukijua vizuri hayo mtafute mtu electronics au electrical engineer akufundishe Circuits analysissi(Norton,thevenib na kirchhoff s law) .Hapo unaweza dizaini hata umeme wa ghorofa.Domestic installation sio ngumu ila umakini unatakiwa kwa sababu umeme unaua.Kama itashindwa kupata msaada uni pm mwezi march nikutumie vitabu vya kutosha vya umeme ila unatakiwa uje na basics walau ya physics o- level , kuna mahala nimesahau adoptor na orodho ipo ktk computer.
Nilia hidi watu humu JF Nita anzisha somo la introduction to electronics kwa kiswahili, bado napambana kutafuta kamera ili niweze kutimiza hio ndoto na wengi waweze kujifunza.
Wahindi na wazungu wame up load video nyingi sana za sayansi subjects ila sisi waswahili bado sana, hivyo usife moyo pambana.
Braza, afu hicho kitabu nimedownload ila naona kuna circuits tu zile basic ( schematic ) japokuwa nyingine complex ila haina hata chembe ya mafunzo ya domestic installation!Nenda PDF drive free download Andika Electrical installation au wiring, au electrical engeering books by J. birds.hata play store kuna apps nyingi za electrical tena zina michoro mizuri.
Umeishia kidato gani, fani gani? .Dah nashukuru sana kaka, na natamani sana nivipate hivyo vitabu.
Nimeishia Form six, mi nadhani nahitaji mafunzo ya domestic installation sasa! Nitumie hivyo vitabu chonde!Umeishia kidato gani, fani gani? .
Hicho kimoja imeidha kidownload?
Ninavyo vina fika GB NNE uandae vocha au nta scan title zote udownload mwenyewe.
Domestic installation ni circuits kama circuits zingine.Basic circuits usiipuze ndio msingi wa complex circuits .Hixo series na parallel circuits za darasa LA saba ndio zinazosukwa kwenye nyiumba kilichoongezeka hapo ni main switch, kikata umeme.OK nimesema sina adaptor ntakaporudi nilipoiacha ntakutumia hicho nilikuwa ninakikumbuka kichwani.Kama unaweza kukitafuta kitabu maarufu cha Advance physics wanatumiaga Kitacho cha tano na sita kuna hio circuit.Braza, afu hicho kitabu nimedownload ila naona kuna circuits tu zile basic ( schematic ) japokuwa nyingine complex ila haina hata chembe ya mafunzo ya domestic installation!
Ok poa kakaDomestic installation ni circuits kama circuits zingine.Basic circuits usiipuze ndio msingi wa complex circuits .Hixo series na parallel circuits za darasa LA saba ndio zinazosukwa kwenye nyiumba kilichoongezeka hapo ni main switch, kikata umeme.OK nimesema sina adaptor ntakaporudi nilipoiacha ntakutumia hicho nilikuwa ninakikumbuka kichwani.Kama unaweza kukitafuta kitabu maarufu cha Advance physics wanatumiaga Kitacho cha tano na sita kuna hio circuit.
Umesoma kombi gani? Kuna mwingine aliniambia eti kasoma chuo.Nikamuuliza hebu ntajie aina mbili za transistor akachemka nikamuona n mbambaishaji nikampotezea maana ningepoteza bando yangu bure.Nimeishia Form six, mi nadhani nahitaji mafunzo ya domestic installation sasa! Nitumie hivyo vitabu chonde!