Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
- Thread starter
-
- #21
Mi nilisoma PCM Minaki nilimaliza 2015, ila sikufich nilikuwa mzugaji sana na mambo ya electricity ya advance siwez kukumbuka sana ila nikisoma vitabu na kurivise inaweza kuwa poa!Umesoma kombi gani? Kuna mwingine aliniambia eti kasoma chuo.Nikamuuliza hebu ntajie aina mbili za transistor akachemka nikamuona n mbambaishaji nikampotezea maana ningepoteza bando yangu bure.
Nimekumbuka title inaiwa Nelkon ana hip circuit na hats Abbot ya o- level inayo hip circuit ila unatakiwa update vitabu vilivyospecialize electronics na electrical ndio utaelewa vizuri na use karibu na fundi umeme ambaye utaenda nae saiti na kupata uzoefu.Kama unataka uingie kwenye umeme unatakiwa ujue theory za umeme kwa ujumla ili uweze Ku repair hata vifaa vya umeme kama Pasi,feni,Brenda za juisi, motor za machine nk.Mi nilisoma PCM Minaki nilimaliza 2015, ila sikufich nilikuwa mzugaji sana na mambo ya electricity ya advance siwez kukumbuka sana ila nikisoma vitabu na kurivise inaweza kuwa poa!
Dah thanks brazaNimekumbuka title inaiwa Nelkon ana hip circuit na hats Abbot ya o- level inayo hip circuit ila unatakiwa update vitabu vilivyospecialize electronics na electrical ndio utaelewa vizuri na use karibu na fundi umeme ambaye utaenda nae saiti na kupata uzoefu.Kama unataka uingie kwenye umeme unatakiwa ujue theory za umeme kwa ujumla ili uweze Ku repair hata vifaa vya umeme kama Pasi,feni,Brenda za juisi, motor za machine nk.
Ni wapi huko mkuu wahandisi wanaenda kukagua izo wiring?Ukisuka nyumba yoyote lazima ikaguliwe na mhandisi na atoe kibali, hivyo kazima awe karibu na wahandisi was umeme.Mafundi kazi yao kusuka na mhandisi kukagua.
Nyumba yoyote lazima ikaguliwe, au wewe unejisukia tu umeme halafu ujalipa Tanesco wakaja kukuingizia? Basi utakuwa muumini wa kutoa kitu kidogo bila kufuata sheria.Ni wapi huko mkuu wahandisi wanaenda kukagua izo wiring?
Nyumba yoyote lazima ikaguliwe, au wewe unejisukia tu umeme halafu ujalipa Tanesco wakaja kukuingizia? Basi utakuwa muumini wa kutoa kitu kidogo bila kufuata sheria.