Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa umeandika kama haupo seriousUnawezaa kunisaidiaa hata maswalii mawilii ya written mkuu nipatee mwanga kidogo njisi maswalii yanavyokuwa
Ni kweli huwezi kusoma kila kitu ila unaweza kusoma vitu vichache ambavyo ni muhimu tu, bahati mbaya huwezi kupata au ni ngumu kupata mtu atakaekupa maswaliHabarii wakuu,
Naombenii yeyote mwenye uzoefu Mbinu ya kujiandaa na written interview utumishi hasa kwa kada ya civil technician maake ni ngumu kusoma vitu vyote vya mwaka wa kwanza hadi wa tatu pasipokujuaa area of concentration na Mungu atakubariki.
Ahsanteni sana.
Unawezaa kunisaidiaa hata maswalii mawilii ya written mkuu nipatee mwanga kidogo njisi maswalii yanavyokuwa
Nashukuru saana kwa ushaurii wako mzurii mkuu ubarikiweNi kweli huwezi kusoma kila kitu ila unaweza kusoma vitu vichache ambavyo ni muhimu tu, bahati mbaya huwezi kupata au ni ngumu kupata mtu atakaekupa maswali
Mkuu kwenye kila course waga kuna maswali yale ya general knowledge, hawatoi maswali magumu sana wala mepesi sana inategemea tu na naww kichwa kina material kiasi gani
Kwahiyo ata wewe huko kwenye civil technician yako lazima kuna vitu vya ulazima/msingi lazima uvijue ili ujitofautishe wewe na mtu ambae hajaenda shule ila anafanya kazi kwa mazoea
Soma vitu ambavyo kutokana na taaluma yako ni vya ulazima kuvijua, achana na ambavyo havina msaada wowote kwenye kazi yako maana mitaala yetu ya elimu imejaa vitu ambavyo havina maana