ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wakuu nilinunua iphone kwa mtu akaondoa ID Yake Mimi kila nikijaribu ku icreate imegoma naomba mtu anisaidie mwenye nayo nitashukuru sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina shida sina vitu vya kuficha kbsJe usalama wako wewe itakuwaje?
Fuata huu ushauri, sio tu kwa Apple, vifaa vingi vinazingua kutungulia Account, tumia browser ya kawaida fungua account kisha sign inhuyu kweli jau, nenda kwenye browser yako serach create apple id then itafunguka click the first result fuata maelekezo ya kutengeneza hiyo apple id then signin kwenye simu
Naanza kuhisi kuna tatizo upande wa icloud nina siku 2 najaribu kufungua akaunti mpya inagoma. Nimejaribu kwenye simu na kompyuta pia ila imegoma. Kila mara inaniambia nijaribu baadae kutemgeneza akaunti, muda mwingine inaishia kuzunguka unapobonyeza next ili kupata code kwenye email.Wakuu nilinunua iphone kwa mtu akaondoa ID Yake Mimi kila nikijaribu ku icreate imegoma naomba mtu anisaidie mwenye nayo nitashukuru sana