Zile mashine haziuzwi zinatolewa bure baada ya kukamilisha vigezo vya kuwa wakala ambavyo ni utatakiwa kuandika barua ya kuomba ukiambatanisha passport mbili,barua ya utambulisho toka ofisi ya serikali za mitaa na wazamini wawili ambao wataandika barua za kukudhamini cha ziada na muhimu na nakala ya vitambulisho ukikamilisha utapeleka katika ofisi husika unayotaka kuwa wakala wao...
Kuhusu malipo u analipwa 8% ya mauzo uliouza kwa sikuu
Ila Hao premier wamekuwa wezi kama unataka wazuri kwa sasa ni Gal sport