Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,768
- 3,622
Habari zenu wakuu wa hili jukwaa, naombeni msaada wa namba za simu za Dr. Isaack Ndodi kwa maana ninahitaji huduma zake za kitabibu. Natanguliza shukrani zangu zangu za dhati kwa yeyote atakayejitokeza kunisaidia ktk hilo.