Msaada: naomba ushauri.

John kirua

Senior Member
Joined
Dec 7, 2021
Posts
140
Reaction score
107
Mjumbe wa mtaa kaniletea barua ya wito naitajika kwa afisa mtendaji.
Barua imeandikwa naitajika kwa 7bu ya kutolipa ela ya takaa

Nimeshindwa kujua kwanza mm ni mtumish wa serikalini pia nipo single naishi mwenyewe nipo busy hata muda wa kushinda nyumbn sina mwez au wiki sirudi nyumbn kutokan na majukumu ya kazini
Na huyo mama ambaye ni mjumbe alinifata kama miez 5 nyuma kudai ela ya taka nikamjibu sina kwa sahv tumeonanae jana usiku badaa ya kutoka kazn

Nashindwa kuelewa kwann hadi hafikie hatua iyoo na sijaenda hadi muda huu

Nilimfata usiku nikamwambia kesho naenda kwenye semina ya siku 3 kikazi j3 ndio nitaenda

Naomba ushauri wenu wa dau...
 
 
Nitaoaje sawa na mwenye familia wakati mm sipiki na nipo single na si shindi nyumbn wala kupika chchte...
Wwe jamaa mtata sana,maana unaweza hata lala kiza kisa tu hutaki kulipa kodi ya Jengo kupitia meter ya luku kisa tu wwe siyo mwenye Jengo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…