Msaada: Naomba wazo la biashara ambalo halitaathiri masomo yangu

Msaada: Naomba wazo la biashara ambalo halitaathiri masomo yangu

Great_whiz

Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
19
Reaction score
29
Habari JF,

Mimi ni mwanachuo ninaesoma chuo fulani hapa Dar es Salaam, naomba ushauri wenu wapendwa. Yeyote mwenye wazo zuri la biashara ambalo haitoathiri muda mwingi wa masomo naomba nijue, na mtaji wake ni kiasi gani ili niongeze kipato changu na kupata uzoefu wa biashara kabla sijamaliza chuo, ili nisiwe tegemezi.

Ahsanteni sana, karibu kwa ushauri [emoji120][emoji120]
 
Habari JF
Me ni mwanachuo ninaesoma chuo fulani hapa dar es salaam naomba ushauri wenu wapendwa yeyote mwenye idea nzuri ya biashara ambayo haitoathiri muda mwingi wa masomo naomba nijue na capital yake ni kiasi gani ili niongeze kipato changu na kupata uzoefu wa biashara kabla sijamaliza chuo ili nisiwe tegemezi.
Ahsanteni sana karibu kwa ushauri [emoji120][emoji120]
Chupi za kike chuoni mtaji hauzidi laki moja inatosha kabisa.. Faida ni zaidi ya mara mbili ya mtaji
 
Jikite katika namna ya kuweza kuwasaidia wanachuo kufanya assignment zao. Kama vile typing, editing maana wana chuo wengi wavivu na wanapenda bata.

Biashara za online mfano simu, nguo, chupi viatu, karanga na mengineyo wengi wanafanya unaweza fanya pia.

Jitangaze
 
Hili ndio wazo bora zaidi,kuna mdau wangu mmoja alikuwa anawafanyia assignments wamafunzi wenzake alikuwa anapiga hela.
Pia simu na laptops ni rahisi kuuza na ni rahisi kubeba unatembea nazo kwenye begi tu any time
 
Nicheki pm niwe nakuuzia laptops na simu from Dubai kwa bei rahisi unawauzia utawapata wengi tu.
 
Jikite katika namna ya kuweza kuwasaidia wanachuo kufanya assignment zao. Kama vile typing, editing maana wana chuo wengi wavivu na wanapenda bata.

Biashara za online mfano simu, nguo, chupi viatu, karanga na mengineyo wengi wanafanya unaweza fanya pia.

Jitangaze
Ahsantee sana mkuu Mungu akubariki hili ni bonge la idea aisee[emoji120]
 
Back
Top Bottom