Sioni _tatizo
Member
- Sep 9, 2024
- 17
- 24
Habari makuu,hivi karibuni kuna mradi nilikua najaribu kutengeneza na kukwama katika kipengele cha namna clients wanaweza fanya nalipo. Ninichotaka kujunzwa ni payment getways zinazo oparate Tanzania na zina favour startups kny matter ya cost. Asanteni