Sioni _tatizo
Member
- Sep 9, 2024
- 17
- 24
Kuna Skrill, perfect money, Neteller, astropay (sirecommend)Habari makuu,hivi karibuni kuna mradi nilikua najaribu kutengeneza na kukwama katika kipengele cha namna clients wanaweza fanya nalipo. Ninichotaka kujunzwa ni payment getways zinazo oparate Tanzania na zina favour startups kny matter ya cost. Asanteni
Na shukuru sana mkuuKuna Skrill, perfect money, Neteller, astropay (sirecommend)
Hao wote wanaweza kukupa direct payment from client to your merchant, japo ukiwa na VIP level ni rahisi Kwa Skrill ukiwa na VIP na VIP wanakupa ukifikisha USD 15600,
Mi wamenipa mwezi huu
Vipi mkuu kuhusu M-pesa, Airtelmoney Api zao zipo public au ndio mpaka uende ofisini kwao??Kuna Skrill, perfect money, Neteller, astropay (sirecommend)
Hao wote wanaweza kukupa direct payment from client to your merchant, japo ukiwa na VIP level ni rahisi Kwa Skrill ukiwa na VIP na VIP wanakupa ukifikisha USD 15600,
Mi wamenipa mwezi huu
Ndio mkuu lazma ufike, pia watakusaidia masuala mengine kama kutanua/kuongeza account Yako iweze kupitisha miamala mikubwaVipi mkuu kuhusu M-pesa, Airtelmoney Api zao zipo public au ndio mpaka uende ofisini kwao??