Msaada: Naombeni ushari kuhusu ujenzi

John kirua

Senior Member
Joined
Dec 7, 2021
Posts
140
Reaction score
107
Mzee wangu amenipa eneo la kujenga..

Mm ni kijana na mtt wa kwanza miaka 28.

Nimepata kazi ya kujitolea katika taasisi ya umma lakini kwenye suala la malipo yanachelewa hata miezi 3 ila wakilipa wanatoa pesa yote ya miez 3

Kuna pesa nilipata nikawekeza kwa bi mkubwa wangu lengo ni nunue matofa kidgo ya kuanzia sasa juzi nimepata pesa nimetoa laki 1 hili niongezee na ile kwa bi mkubwa nikanunue matofali nipeleke site kidg yatakuwa meng

Nikamshirikisha mzee akaniambia wazo zuri nunua kidg kdg matofari usikae kusubilia upate ela nying ndio ujenge

Ila bi mkubwa aligoma baada ya kuomba ela niliyompatia niongeze na hii niliyopata alichosema pesa niliyompa ndio itanunua matofari na hii niliyopata sahiv nitumie kwenye matumiz ya nyumbn sababu malipo yangu yanachelewa so inikimu kweny mahitaj madg madog hata msahara ukicherewa itanisaidia
Nashidwa ni fanyaje maana sielew ni msikilize baba au mama?
 
Wote wana nia njema, Kama unategemewa nao, msikilize Mama, ni sawa tu, Mambo ni taratibu Dogo!
 
Hapa mbongo ndio huwa anafeli.

Ndio kwaaanza unaanza kujitafuta halafu unataka hela yako ukanunue michanga kisha uifukie chini.


Mimi ningekua ww hiyo hela ningefanyia matumizi mengine ya kuniletea hela maradufu na sio kwenda kununua michanga.
 
Hapa mbongo ndio huwa anafeli.

Ndio kwaaanza unaanza kujitafuta halafu unataka hela yako ukanunue michanga kisha uifukie chini.


Mimi ningekua ww hiyo hela ningefanyia matumizi mengine ya kuniletea hela maradufu na sio kwenda kununua michanga.
Wazo zuri bro but niliwaza kuwekeza pesa ili nifanye biashara but nilitaka nianze kujenga kidg kdg kabla ya majumu kuongezeka
 
Kabla ya kuanza kujenga,hakikisha hicho kiwanja ulichopewa na Mzee wako, kimebadilishwa jina na kuandikwa jina lako wewe kama mmiliki halali wa hicho kiwanja,

Utajenga Nyumba yako ila wazee wako wakitangulia mbele ya haki, hao ndugu zako watadai urithi kwenye Nyumba uliyoijenga wewe coz itakua ipo kwenye kiwanja cha Baba yao,na watasema ni Nyumba ya Baba yao,

Hata mkienda Mahakamani,watashinda hiyo kesi mapema sana.
 
Kwa maelezo yako inaonyesha una Miaka 28 ila bado hujitambui hakikisha hata ukipata shilingi 100 mpelekee mama akutunzie
 
Kwa maelezo yako inaonyesha una Miaka 28 ila bado hujitambui hakikisha hata ukipata shilingi 100 mpelekee mama akutunzie
Hapn bro alikuwa na shida na pesa so alipomalz kutatua nilimwambia akae nayo iyo pesa
 
Hapn bro alikuwa na shida na pesa so alipomalz kutatua nilimwambia akae nayo iyo pesa
Mama hakopeshwi pesa kama aliitumia kutatua changamoto zake anza upya kutafuta pesa nyingine hiyo usiuulizie, fungua account bank weka akiba yako au weka hata mpesa tunza mwenyewe
 
Mama hakopeshwi pesa kama aliitumia kutatua changamoto zake anza upya kutafuta pesa nyingine hiyo usiuulizie, fungua account bank weka akiba yako au weka hata mpesa tunza mwenyewe
Asante kwa ushauri
 
Kiufupi mama hio pesa alishakula
Hapo anakupiga kalenda tu ana buy time

Mzazi hakopeshwi, niko nimekaa pale
 
Fikiria kuanzisha biashara ktk umri huo (miaka28), usianze kujenga nyumba ya kuishi (hiyo ni liability). Kama ni nyumba ya kuoangisha well and good.
 
Kama ulimpa mama atatue changamoto zake hiyo pesa hesabu huna pesa kabisa,anza upya tafuta Pesa weka kwenye AKAUNTI yako ikitosha ya kununua tofali chukua Kiasi,hakikisha AKAUNTI inabaki na pesa ya kukulinda
 
Unamkopesha mama pesa upo serious kweli mkuu mzazi kama mama akopeshwi ukijichanganya maendeleo ya maisha Yako utayasikia kwenye majira
 
Halafu swali lingine umeoa au unamtoto Ili tuweze kusaidia kimawazo zaidi
 
Msikilize mama.
 
Jitahidi pesa yako uwe unjiwekea wewe mwenyewe.

Kujenga ni wazo zuri Sana Ila Kama alivyokuambia mzee wako ufanye mambo kidogo kidogo kwa kuachiana MUDA ndo utafanikiwa kufikia malengo kwa usahihi.
 
Kama ni wa kiume......Mheshimu Mama ila msikilize Sana Baba. (Sina maana Baba usimheshimu.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…