MSAADA: Naombeni ushauri wa kimawazo.

MSAADA: Naombeni ushauri wa kimawazo.

"KASRI YA MWINYI FUAD".
Sina hiki kitabu.

Kinapatikana hapa: https://textbookcentre.com/catalogue/kasri-ya-mwinyi-faud_14704/ waweza kukinunua hapo.
1119118
 
Je ni vitabu vipi unapendekeza aanze navyo, ili niweze kumuwekea hapa JF huyu ndugu yetu sindani
Ukifanikiwa kusoma kitabu cha Erick Shigongo huna haja ya kusoma hivyo vingine vyote, ni kitabu kizuri na kinaendana ma mazingira yetu ya kibongo" Ten proven secret from poverty to success " niwe mkweli tu kitabu hiki kimenitoa kimaisha! Nilikua sijui mambo mengi ktk ujasiriamali lkn baada ya kusoma hiki kitabu nimeweza kutoboa ingawa kwa uchache!

NB: kitafute kitabu hiki na ukisome chote, ikiwezekana rudia rudia kukisoma!
 
Anza Biashara kulingana na kile ulichonacho mtaji ukikua ndo akili nazo zitakua
Usiweke hela zote kwenye Biashara.
 
Back
Top Bottom