shukuru imma
Member
- Sep 11, 2024
- 33
- 91
Ni muda sasa takriban wiki mbili nina maumivu sehemu ya haja kubwa. Siwezi kukaa na ninatembea kwa shida sana.
Vilevile ninapata shida sana wakati wa kutoa haja kubwa hadi naogopa. Natoa vinyesi vidogo vidogo vinauma sana.
Nilieenda hospitali nikakutwa na amiba. Nimemeza dawa na kumaliza dozi yote lakini hali bado iko vile vile. Wataalamu wa afya waliomo humu naomba kuelimishwa napata shida.