antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Sababu kubwa ya constipation ni ulaji wa vyakula vyenye kiasì kidogo mno cha kambakamba/nyuzinyuzi (fibers), na mara nyingi kwa mijini culprit ni chips.ZIna shida gani kwa kesi ya bawasiri mkuu?
Kama mtu anakula mbogo za majani na matunda kwa wingi, nafaka nzima (zisizokobolewa), anakunywa maji ya kutosha, siyo rahisi kukumbwa na bawasili