shukuru imma
Member
- Sep 11, 2024
- 33
- 91
Asante sana mkuuJaribu kutumia hizi mkuu....unaweka kimoja huko sehemu ya haja kubwa kila siku kwa siku kadhaa utakazoshauriwa na daktari
View attachment 3095745
We una constipation..Jinsi ya kuchomoka hapo piga sahani ya papai kila siku. Piga jioni ndy unyama zaidi. Utapata choo kilaini then hiyo hali asnte sana kiongoz
Nifanye mkuuKwa ulivyo eleza iyo ni bawasiri yà ndan
Ya nje huwa inakuaje?Kwa ulivyo eleza iyo ni bawasiri yà ndan
DR Mambo JamboNi muda sasa takriban wiki mbili nina maumivu sehemu ya haja kubwa. Siwezi kukaa na ninatembea kwa shida sana.
Vilevile ninapata shida sana wakati wa kutoa haja kubwa hadi naogopa. Natoa vinyesi vidogo vidogo vinauma sana.
Nilieenda hospitali nikakutwa na amiba. Nimemeza dawa na kumaliza dozi yote lakini hali bado iko vile vile. Wataalamu wa afya waliomo humu naomba kuelimishwa napata shida.
Yaan mkuu napata shida sana. Saiv hata kucheka au kukohoa nashindwa maumivu ni mengBawasili hiyo
63 mkuuUzito wako mkuu?
Plus, aache chipsWe una constipation..Jinsi ya kuchomoka hapo piga sahani ya papai kila siku. Piga jioni ndy unyama zaidi. Utapata choo kilaini then hiyo hali itaisha
Sawa asanteHiyo bawasiri,wahi matibabu kabla haijakolea
Nitazingatia maana hali ni mbaya hadi kucheka nashindwaPlus, aache chips
ZIna shida gani kwa kesi ya bawasiri mkuu?Plus, aache chips