Msaada: Napata maumivu mkono wa kushoto shingo na mgongo

Msaada: Napata maumivu mkono wa kushoto shingo na mgongo

Hanari wana JF

Nasumbuliwa na maumivu ya shingo, mkono na mgongo. Maumivu hayo yapo kila muda ila kwa kawaida huongezeka zaidi ninapopata vistress au hofu ya kitu chochote.

Nimetembelea hospitali mbalimbali kama Muhimbili, Mawen, St Cammillus, Mac Ren polyclinic

Nimepima damu, moyo, x rays, acid sijapata matokeo

Nimeonana na spychologist lkn bado sijakaa sawa

Msaada kwa anayeweza tatua shida kama hii au ambaye kashawahi kukutana nalo

Shida ilizuka ghafla tuh baada ya kupata maumivu makali chini ya moyo kwa muda mrefu

H.pyrol ipo negative.
Inaitwa Gastroesophageal reflux disease (GERD) na haitibiki, jiandae kisaikolojia tu kuizoea hiyo hali ndugu yangu!! Relax, ipuuze jifanye kama huumwi na uendelee na maisha yako itafika wakati utaona hali imetengemaa.

Ukiwaza sana kuwa u mgonjwa ndo inazidi kukuumiza mana haitaki hasira wala stress!! Ipotezee tu endelea na mishe zako
 
Back
Top Bottom