Msaada: Napata mihemko mikali ikiambatana na harufu ya mahaba

Kama ni kweli, mwili wa binadamu una mechanism nyingi sana amabazo zinasaidia kuuweka mwili sawa, fatilia ni kwa muda gani kisayansi mwanaume anatakiwa kutoa sperm kwakuwa zinapokaa sana bila kutoka waga zina madhara

sasa mwili unapoona muhusika haangaiki na kuzipunguza ndipo mechanism km hzo zinatokea, mwili unajaribu kukushawishi ili uzipunguze hizo sperm kwa namna yoyote ile ilmradi concentration yake katika mwili iwe katika normal pH

Hapo hakuna dawa zaidi ya kuzipunguza sijui hayo mazoezi hakuna kitu, we punguza kwanza alafu ndo ujenge mazoea ya kujiweka busy na hyo mazoezi,kusoma hivo vitabu nk ili akili yako isiwaze hayo mambo tena au mara kwa mara

Hiyo harufu ni mechanism ya mwili kujaribu kupunguza hzo mambo kwa njia ya jasho ila zinatoka kiasi kidogo sana, ushauri sasa, tafuta mdada wa kupunguzia haijarishi km ni kahaba au vp then uhangaike nae km week 1 hv for sure hiyo hali itapotea

Tena uko kazini unaweza kuta wadada wameshajua unahangaika na nn maana nawao waga wanazijua harufu na tabia za wanaume wenye genye zilizopindukia, ss we kalia utanashati sijui kuwaringia kumbe wanakuona boya tu coz unakufa na utamu wako

NB. Me sio doctor na haya ni mawazo yangu tu
 
Fanya sana mazoezi pia punguza nyege hizo utakua sawa kabisa huku ukijaribu kua karibu na wasichana usiwakimbie eti kisa eti mpaka ufunge ndoa kua nao karibu piga nao story za utani mwingi wafanye wawe marafiki zako huku ukiendelea kulinda kiapo chako
Usisahau mazoezi na kupunguza nyege hizo zikizidi hua ni shida
 
Hahaha... We jamaa bhana...

Sina mpango wa kutafuta mchuchu humu aisee. Sina mpango wa kuwa na mahusiano sasa. Na ndo natafuta mbadala wa show za kibabe....haya maisha yanewezekana bila chumvin kweli?

Hiyo agenda ya siri ume- insinuate hapo asee. Sijui kitu chochote kuhusu kutaka kuwashika hata wadada wa kilokole....umenshangaza sana asee

Lingine nimeona hapo, mi stokei kule kwenye ndizi asee.

Ki muonekano wa sura..au icho unachoita "u-handsome" ata nsidanganye ni mashallah. Handsome la nguvu ukinikuta naopoa dada du unaeza ukantia makofi. In short sista ako akija ntambulisha kwako utaishia kumuuliza tu ndoa lini...[emoji23] [emoji23]
 
Najitahid kutafuta consistency. Kama nimejisemea moyoni nataka niimalize miaka mitatu cjadu afu ndo mwaka tu umeisha afu naanza kutafuta dada poa au kahab ka unavosema ntakuwa mtu wa ajab sana asee. Mbwa koko yani

Hivi nkija kuoa na mke akawa mbali kwa muda, si ndio mambo ya kuchepuka na dada wa kazi sasa?

Kama mwanaume aliyekanilika shupavu na anayejitambua, naamini kuna njia ya kuzuia haya mashambulio ya kihisia...

Naamini sayansi haujashindwa bado kutoa suluhisho. Na nadhani lipo ni halijasemwa tu
....

Ahsante sana
 
Kweli suluhisho kisayansi lipo na ndio ambalo unalikataa, suluhisho ni kuzipunguza hizo sperm ndomana nikasema kwa njia yyte, km utaamua kutafuta mpenz niwewe au kwa njia gan niwewe, ila kwa njia ya kufanya mazoez haiwezi kusaidia kwa sasa kwakuwa hiyo situation yako ipo katika acute so hadi upunguze ndo hizo njia zingine km mazoezi zitakuwa applicable lasivyo utaingia katika chekacheka phase...!

Anyway kwakuwa ww umeamua kusema et utakaa muda wote bila kufanya mapenzi hadi uoe ikiwa huzijui consequence zake basi ndio hizo ss, we teseka na mihemko yako alafu huyo unaeenda kuoa wajanja walikuwa wanapakua kila week..!

Kila la kheri bro.
 
Oa. Acha kuwaza mambo ya madada poa. Ukiwa na mke mwili wako hauwezi kupandwa na mizuka ya hivyo. Oa upesi kwa maana hata bible imeandika juu ya ni nini cha kufanya kutokana na tamaa zetu. Maneno ya Mtume Paul alipokuwa anawashauri watu alisema angependa wote wawe kama yeye lakini akajua tulivyo dhaifu kama inavyojionyesha kwako, akasema tuoe. Ukioa hutaleta hapa mawazo yako ya kingono ngono hapa. Mkeo atakuridhisha muda wowote utakapopandwa na hiyo mihemko yako.
 
Si aoe?? Kama anajiweza atashindwaje kukaa na mke? Unataka kujamiiana unashindwa kufuata utaratibu? Aache hizo. Alafu kwa ujumbe wake inaonekana hata yule dada alikuwa nae kwa ajili ya kuondoa mihemko yake. Mara tu baada ya kwenda mbali akaona hatampata kingono ikabidi amuache
 
Daresalama oyeeee, magovi juuuu
Dar stand up...mmepa unga mtetez wa wanadarisalama mtoto wa ilala la familia ili mtukane....

Ngoja atoke rehab atawabonda ba hizo wanaume wa dar zitawaisha....asaleeeeh
 
Dar stand up...mmepa unga mtetez wa wanadarisalama mtoto wa ilala la familia ili mtukane....

Ngoja atoke rehab atawabonda ba hizo wanaume wa dar zitawaisha....asaleeeeh
Hahaha akitoka rehab anaanza kula cha arusha, WA dar ni mabingwa wa kila starehe
 
Hahaha akitoka rehab anaanza kula cha arusha, WA dar ni mabingwa wa kila starehe
Cha A town hakitaamsha mizuka... Kile cha kanda maalum,mkoa wa kipolisi rorya....a.k.a sasa unaingia mkoa wa musoma kitampandisha mizuka na hasira za kikurya...

Chidi mpya Chidi Buggati Atamvunja mtu mguu wa nyuma
 
Cha A town hakitaamsha mizuka... Kile cha kanda maalum,mkoa wa kipolisi rorya....a.k.a sasa unaingia mkoa wa musoma kitampandisha mizuka na hasira za kikurya...

Chidi mpya Chidi Buggati Atamvunja mtu mguu wa nyuma
Hahaha chidi BUGGATI. Nasikia cha Malawi kikavu kichiz, dizain kama cha kigoma kigoma hivi.Amani kwa kaka Voda milionea -Langa RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…