We tafuta dem kagongane hakuna dawa ya nyege zaidi ya kugongana, ni jambo la heri hilo unatakiwa kushukuru na kuwa proudNa hilo la kupata mihemko we hujaliona?
Hahaha, point ni kuwa ukiachana na yote hayo, nisingependa kujihusisha na mahusiano ya kingono kabla ya ndoa. Lakin kinyume na matarajio napata mgogoro ndani yangu unaoletwa na hisia a.k.a nyege...
Swali, kuna suluhisho bila ku-do? Kuna suluhisho bila kujichua?
Ukiniambia sasa kuna sindano mtu anachomwa ili aondoe mihemko nafanya appointmnt na tabibu sasa hivi...
Anyways...ahsante..mods waangalie comment yako wakiona inafaa wahamishie matangazo, itakuwa poa
Embu nelekeze kwa huyo mganga. Unaonekana kujua vitu anavyohitaji ili kutoa dawa[emoji12] [emoji85]We tafuta dem kagongane hakuna dawa ya nyege zaidi ya kugongana, ni jambo la heri hilo unatakiwa kushukuru na kuwa proud
Ungekuwa haupati na haisimami sahivi ungekua sokoni unachagua kuku mwekundu upeleke kwa mganga hapo asali, vitunguu saumu, parachichi, mihogo mibichi na karanga mbichi zishadunda
Get bize jishughulishe, piga zoezi Sali sana labda itasaidia otherwise tafuta dem tu
Wahaya mnajuana kwa vilemba[emoji23] [emoji23]Binamu yake Ruttashobolwa jirani yake WA KISHUA
Huyo mganga ni mshana jr anakupa dawa inasimama wima muda wote kama ipo kwenye gwarideEmbu nelekeze kwa huyo mganga. Unaonekana kujua vitu anavyohitaji ili kutoa dawa[emoji12] [emoji85]
Wasalimie kamachumu teh, uniletee senene ukija mjiniWahaya mnajuana kwa vilemba[emoji23] [emoji23]
Huyo dogo lako atapona kweli!Habarini
Mimi ni kijana mtanashati. Mrefu futi 5 na ushee rangi dhahabu na mwili wenye afya tele. Umri wangu miaka 25 na Elimu yangu ni ya kuridhisha kwa kweli.
Napenda kujichanganya na watu wote hasa wale wa kawaida. Kipato changu ni cha kawaida sababu kinamudu kuniweka mjini mimi na dogo langu ninayemfadhili katika masomo. Ni binti, na nimemzidi takribani miaka 6.
Nimekuwa mhudhiriaji mzuri sana hapa na kuona mambo mbalimbali. Mengine nimechangia mengine yameniondolea msongo na mengine yameenda mbali zaidi na kuifanya siku zangu kuwa zenye furaha sana. Kwa hayo nasema Ahsante wana JF.
Muda mfupi hivi karibuni nimekuwa si mchangiaji au niseme mshiriki mzuri kwa ujumla. Sababu ni tatizo lililonipata ambalo licha ya kutofautiana na mengi yanayoletwa humu, limenifanya nikaamini si kila story humu ni ya kusadikika au hata za kuiga 'copy and paste.'
Nimeamini kwani nami yamenikuta. Leo nimekuwa mfano hai wa Tomaso mpaka nimegusa.
[emoji445] Yamenikuta, yaamenikuta mzee mwenzangu[emoji445] na nilipoyapeleka kwa jamaa na waskaji nimekosa ufumbuzi. Nimeona ni vema niyaweke hadharani hapa. Nanyi nyote mjionee yanawezekanaje mambo haya?
Swala lilonikumba hivi karibuni takribani wiki tatu sasa ni "mihenko." Nimekuwa napata hisia kali sana za kufanya mapenzi nisijue zinatoka wapi. Kuna wakati nimehisi mpaka harufu ya mwili wangu 'fragrance' imebadilika na kuwa ya kimahaba.
Mara ya mwisho kukutana na mwanamke kimwili ni karibu mwaka mmoja umepita sasa. Nilikuwa kwenye mahusiano ya mbali 'long distance relationship' yakavunjika. Sababu ikiwa ni mimi na nimekuwa nikijuta mara kadhaa. Lakini najua bora kutokuishi kwenye wakati uliopita. 'I don't live in the past'
Mhemko nnaopata unanivuruga kichwa. Kuna saa nakuwa kama mbwa aliyehisi harufu ya jike la mbwa 'bitch' anayetaka kupakupandwa. Huwa nahangaika bila utaratibu na sijui kama watu wangu wa karibu wamehisi hasa huyu mdogo wangu.
Cha kusikitisha nahisi kabisa kinachoendelea ndani ya mwili wangu. Nahisi hisia kali za kutaka kushiriki tendo na najaribu kujizuia sana, tena sana. Lakini nashindwa, hizi hisia kali zinanishinda maarifa na nguvu.
Achilia mbali utanashati, mvuto wa mwonekano na uvaaji ambavyo vinawavutia akina dada wengi, nimejisemea moyoni, nisingependa kuduu mpaka ndoa. Pengine miaka miwili au mitatu baada ya kutoka kwenye mahusiano mwaka jana. Mwaka wa kwanza ndo huo umeisha na nilichoambulia ni 'mihemko' kwa wiki karibu tatu sasa. Mihemko ambayo sijui alpha yake wale ukomo wake.
Sasa najiuliza hapa hii hali inasababishwa na nini? Embu niambie ukinikuta kijana kama mimi nimeopoa dada poa naenda piga show ya kibabe si utashangaa sana?
Hii hali kitabibu huwa inatokea au nimeingiwa na pepo mahaba mimi? Kama ni pepo, na Lishindwe kwa kweli. Halina nafasi katika mwili wangu.
Nimejaribu kujichua mara mbili sasa, lakini hali inaondoka dakika chache baadaye inarudi. Nifanyeje mimi mtoto wa kiume? Nifanye nini mimi kabla sijaumbuka.
Sitaniii au kunogesha story ninaposema huu mhemko unaambatana na harufu ya mahaba. Ni kama ile harufu unayoihisi kutoka kwa dume la mbuzi, beberu. Sasa fikiri harufu ya mahaba inayotoka kwa dume la binadamu. Ni harufu ambayo nimekuwa nikiihisi mara kadhaa hapo nyuma wakati wa matendo makuu.
Je, hii hali inantokea mimi tu au ni kawaida kwa wanaume wasiofanya mapenzi mara kwa mara? Na mbona inanipelekesha sana, misimamo yangu yote na maringo saba kwa wadada wa mtaani na kazini naona inafikia tamati.
Sijaribu kusema hapa mimi mkamilifu na sifagilii show za kibabe, La hasha. Njitahidi kujizuia. Najitahidi kutokuwa mbwa koko.
Tafafhali mwenye siluhisho, ushauri maoni...
Like the old adage goes, Scratch my back and I will scratch yours.
Please help its an emergency.
We call it KAGTECH (Kagera technology) infwact hiyo hapana only seneneShaka ondoa, na katelelo unataka? Au matoke na saneno tu?
Chekacheka phase... Ha ha haKweli suluhisho kisayansi lipo na ndio ambalo unalikataa, suluhisho ni kuzipunguza hizo sperm ndomana nikasema kwa njia yyte, km utaamua kutafuta mpenz niwewe au kwa njia gan niwewe, ila kwa njia ya kufanya mazoez haiwezi kusaidia kwa sasa kwakuwa hiyo situation yako ipo katika acute so hadi upunguze ndo hizo njia zingine km mazoezi zitakuwa applicable lasivyo utaingia katika chekacheka phase...!
Anyway kwakuwa ww umeamua kusema et utakaa muda wote bila kufanya mapenzi hadi uoe ikiwa huzijui consequence zake basi ndio hizo ss, we teseka na mihemko yako alafu huyo unaeenda kuoa wajanja walikuwa wanapakua kila week..!
Kila la kheri bro.
mapepo hayo! sio wewe pekee! inakujaga sana kama unapinga kufanya hivyo na unamission y Kumtafuta Mungu ili uepuke vishawishi na majaribu!Habarini
Mimi ni kijana mtanashati. Mrefu futi 5 na ushee rangi dhahabu na mwili wenye afya tele. Umri wangu miaka 25 na Elimu yangu ni ya kuridhisha kwa kweli.
Napenda kujichanganya na watu wote hasa wale wa kawaida. Kipato changu ni cha kawaida sababu kinamudu kuniweka mjini mimi na dogo langu ninayemfadhili katika masomo. Ni binti, na nimemzidi takribani miaka 6.
Nimekuwa mhudhiriaji mzuri sana hapa na kuona mambo mbalimbali. Mengine nimechangia mengine yameniondolea msongo na mengine yameenda mbali zaidi na kuifanya siku zangu kuwa zenye furaha sana. Kwa hayo nasema Ahsante wana JF.
Muda mfupi hivi karibuni nimekuwa si mchangiaji au niseme mshiriki mzuri kwa ujumla. Sababu ni tatizo lililonipata ambalo licha ya kutofautiana na mengi yanayoletwa humu, limenifanya nikaamini si kila story humu ni ya kusadikika au hata za kuiga 'copy and paste.'
Nimeamini kwani nami yamenikuta. Leo nimekuwa mfano hai wa Tomaso mpaka nimegusa.
[emoji445] Yamenikuta, yaamenikuta mzee mwenzangu[emoji445] na nilipoyapeleka kwa jamaa na waskaji nimekosa ufumbuzi. Nimeona ni vema niyaweke hadharani hapa. Nanyi nyote mjionee yanawezekanaje mambo haya?
Swala lilonikumba hivi karibuni takribani wiki tatu sasa ni "mihenko." Nimekuwa napata hisia kali sana za kufanya mapenzi nisijue zinatoka wapi. Kuna wakati nimehisi mpaka harufu ya mwili wangu 'fragrance' imebadilika na kuwa ya kimahaba.
Mara ya mwisho kukutana na mwanamke kimwili ni karibu mwaka mmoja umepita sasa. Nilikuwa kwenye mahusiano ya mbali 'long distance relationship' yakavunjika. Sababu ikiwa ni mimi na nimekuwa nikijuta mara kadhaa. Lakini najua bora kutokuishi kwenye wakati uliopita. 'I don't live in the past'
Mhemko nnaopata unanivuruga kichwa. Kuna saa nakuwa kama mbwa aliyehisi harufu ya jike la mbwa 'bitch' anayetaka kupakupandwa. Huwa nahangaika bila utaratibu na sijui kama watu wangu wa karibu wamehisi hasa huyu mdogo wangu.
Cha kusikitisha nahisi kabisa kinachoendelea ndani ya mwili wangu. Nahisi hisia kali za kutaka kushiriki tendo na najaribu kujizuia sana, tena sana. Lakini nashindwa, hizi hisia kali zinanishinda maarifa na nguvu.
Achilia mbali utanashati, mvuto wa mwonekano na uvaaji ambavyo vinawavutia akina dada wengi, nimejisemea moyoni, nisingependa kuduu mpaka ndoa. Pengine miaka miwili au mitatu baada ya kutoka kwenye mahusiano mwaka jana. Mwaka wa kwanza ndo huo umeisha na nilichoambulia ni 'mihemko' kwa wiki karibu tatu sasa. Mihemko ambayo sijui alpha yake wale ukomo wake.
Sasa najiuliza hapa hii hali inasababishwa na nini? Embu niambie ukinikuta kijana kama mimi nimeopoa dada poa naenda piga show ya kibabe si utashangaa sana?
Hii hali kitabibu huwa inatokea au nimeingiwa na pepo mahaba mimi? Kama ni pepo, na Lishindwe kwa kweli. Halina nafasi katika mwili wangu.
Nimejaribu kujichua mara mbili sasa, lakini hali inaondoka dakika chache baadaye inarudi. Nifanyeje mimi mtoto wa kiume? Nifanye nini mimi kabla sijaumbuka.
Sitaniii au kunogesha story ninaposema huu mhemko unaambatana na harufu ya mahaba. Ni kama ile harufu unayoihisi kutoka kwa dume la mbuzi, beberu. Sasa fikiri harufu ya mahaba inayotoka kwa dume la binadamu. Ni harufu ambayo nimekuwa nikiihisi mara kadhaa hapo nyuma wakati wa matendo makuu.
Je, hii hali inantokea mimi tu au ni kawaida kwa wanaume wasiofanya mapenzi mara kwa mara? Na mbona inanipelekesha sana, misimamo yangu yote na maringo saba kwa wadada wa mtaani na kazini naona inafikia tamati.
Sijaribu kusema hapa mimi mkamilifu na sifagilii show za kibabe, La hasha. Njitahidi kujizuia. Najitahidi kutokuwa mbwa koko.
Tafafhali mwenye siluhisho, ushauri maoni...
Like the old adage goes, Scratch my back and I will scratch yours.
Please help its an emergency.
Hahaha... We jamaa bhana...
Sina mpango wa kutafuta mchuchu humu aisee. Sina mpango wa kuwa na mahusiano sasa. Na ndo natafuta mbadala wa show za kibabe....haya maisha yanewezekana bila chumvin kweli?
Hiyo agenda ya siri ume- insinuate hapo asee. Sijui kitu chochote kuhusu kutaka kuwashika hata wadada wa kilokole....umenshangaza sana asee
Lingine nimeona hapo, mi stokei kule kwenye ndizi asee.
Ki muonekano wa sura..au icho unachoita "u-handsome" ata nsidanganye ni mashallah. Handsome la nguvu ukinikuta naopoa dada du unaeza ukantia makofi. In short sista ako akija ntambulisha kwako utaishia kumuuliza tu ndoa lini...[emoji23] [emoji23]
mapepo hayo! sio wewe pekee! inakujaga sana kama unapinga kufanya hivyo na unamission y Kumtafuta Mungu ili uepuke vishawishi na majaribu!