Msaada: Napata mihemko mikali ikiambatana na harufu ya mahaba

Inaonekana unamatatizo ya kutokuoga jitahidi uoge na pili hio harufu ya mahaba misijawahi isikia kwa kweli labda harufu ya janaba...so jiangalie unaweza ukawa na jini mahaba me.
 
Inaonekana unamatatizo ya kutokuoga jitahidi uoge na pili hio harufu ya mahaba misijawahi isikia kwa kweli labda harufu ya janaba...so jiangalie unaweza ukawa na jini mahaba me.
Hahaha.. Naoga kutwa mara tatu na sabuni tatu tofauti. Asubuhi ninapoamka, jioni ninapotoka kazini na baada ya mazoezi. Na kabla cjalala naupooza mwili kwa maji baridiiiii kabla cjaupumzisha.
..

Upo hapo...
 
Mimi nashangaa sana eh yaani unalea ge...nye....wewe umri huo oa bwana!
 
kuna watu ge..nye zikizidi huwa zinatoka zenyewe wakati wa haja ndogo imewahi kukutokea? kuna jarida nilisoma....
The more you increase the number of ejaculation in your timelife the more you avoid prostate cancer on the way in your life. Hakuna jemaa bwanaaa!
 
Hahaha.. Naoga kutwa mara tatu na sabuni tatu tofauti. Asubuhi ninapoamka, jioni ninapotoka kazini na baada ya mazoezi. Na kabla cjalala naupooza mwili kwa maji baridiiiii kabla cjaupumzisha.
..

Upo hapo...
Ila kua makini kujiska harufu ya mahaba wewe mmwenyewe ni jin mmahaba shoga linakunyemelea so fanya fasta usommewe dua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…