Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Whey protein, ,,, poda ya nini wewe ,,kamua mazoezi kavukavu,, inachotakiwa jiataidi uwe unakunywa maji mengi na matunda,na maziwa,, labda utumie mara chache na vidonge vya vitamin vinaitwa Gensomin vya kikorea,, mapoda yana madhara kwa baadae kaka, ,me mwaka mmoja nilinunuaga pale mlimani city kwenye duka la GAME,,ila nilitumia kidogo tu nikaligawa kwa washkaji,, mazoezi ukifanya kisawasawa una Gain bila poda wala nini mkuu,, We piga maji ya kutosha,,matunda kwa sana,,maziwa pia yasikupite, halafu jitaidi uwe unapiga na sqwaty hata week mara mbili, kamua hadi ufikie uwezo waku-lift mpka kilo mia na hamsini sqwatyNitapata wapi poda kwa jina lingine,silijui hila kazi yake ni yaani unabuia hule unga alafu unaingia gym.
Naupata wapi? na kwa bei gani?![]()
Ndiyo walivyo wanaume wa dar es salamaBiashara matangazo ila sio mbaya
Mia hamsini ni kiamaWhey protein, ,,, poda ya nini wewe ,,kamua mazoezi kavukavu,, inachotakiwa jiataidi uwe unakunywa maji mengi na matunda,na maziwa,, labda utumie mara chache na vidonge vya vitamin vinaitwa Gensomin vya kikorea,, mapoda yana madhara kwa baadae kaka, ,me mwaka mmoja nilinunuaga pale mlimani city kwenye duka la GAME,,ila nilitumia kidogo tu nikaligawa kwa washkaji,, mazoezi ukifanya kisawasawa una Gain bila poda wala nini mkuu,, We piga maji ya kutosha,,matunda kwa sana,,maziwa pia yasikupite, halafu jitaidi uwe unapiga na sqwaty hata week mara mbili, kamua hadi ufikie uwezo waku-lift mpka kilo mia na hamsini sqwaty
Wengi hawajui,,wanafakamia tu hayo mapoda yao mwisho wake wengine yanawajaza makalio,Mia hamsini ni kiama
Kifupi umeeleza poa sana mi huwa hata siulizii bei za dawa kwa ajili ya zoezi piga kunywa maji kula kawaida mwli unakuwa safi
Epuka dawa epuka madhara tena makubwa sana mbeleni