Msaada: Napata wapi poda ya kupigia gym

Msaada: Napata wapi poda ya kupigia gym

tzmuya

Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
86
Reaction score
26
Nitapata wapi poda kwa jina lingine,silijui hila kazi yake ni yaani unabuia hule unga alafu unaingia gym.
Naupata wapi? na kwa bei gani?
cd7f50811c355a11ad2d55d14c9b8347.jpg
 
Whey protein, ,,, poda ya nini wewe ,,kamua mazoezi kavukavu,, inachotakiwa jiataidi uwe unakunywa maji mengi na matunda,na maziwa,, labda utumie mara chache na vidonge vya vitamin vinaitwa Gensomin vya kikorea,, mapoda yana madhara kwa baadae kaka, ,me mwaka mmoja nilinunuaga pale mlimani city kwenye duka la GAME,,ila nilitumia kidogo tu nikaligawa kwa washkaji,, mazoezi ukifanya kisawasawa una Gain bila poda wala nini mkuu,, We piga maji ya kutosha,,matunda kwa sana,,maziwa pia yasikupite, halafu jitaidi uwe unapiga na sqwaty hata week mara mbili, kamua hadi ufikie uwezo waku-lift mpka kilo mia na hamsini sqwaty
 
Mia hamsini ni kiama
Kifupi umeeleza poa sana mi huwa hata siulizii bei za dawa kwa ajili ya zoezi piga kunywa maji kula kawaida mwli unakuwa safi
Epuka dawa epuka madhara tena makubwa sana mbeleni
 
Wengi hawajui,,wanafakamia tu hayo mapoda yao mwisho wake wengine yanawajaza makalio,
kumbe inachotakiwa kuzingatia lishe tu,na maji kwa wingi na mengineyo
 
Back
Top Bottom