Msaada: Napenda na nataka kuwa model

Msaada: Napenda na nataka kuwa model

cute mimi22

Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
46
Reaction score
19
Habari wana jf,

Mimi ni binti wa miaka 23. Napenda kuwa model na vigezo ninavyo. Mwenye kujua au anaeweza nisaidia ili niwe model please aje pm [emoji120] [emoji120].

Asante.
 
+255 719 921 919 Shaxyford .......mjarb huyu jamaa anafanya fashion na model mwambie Jane kakupa namba
 
Habari wana jf mimi ni binti wa miaka 23 napenda kuwa model vigezo nnivyo mwenye kujua au anaeweza nisaidia ili niwe model please aje pm [emoji120] [emoji120] asante
kuna uzi uliochambua u model humu sijui nani aliuleta wakasema ushoga na umalaya huanzia huko!sijui kama vina ukweli!
 
Tuma picha zako kwenye pm yangu ntakuunganisha nao kama umekidhi vigezo.. My ex gal alikuwa miss na alikuwa anashiriki kwenye modeling...
 
Wafuhatilie hawa jamaa instagram @theinnovationhouse2014 watakusaidia. Its a big modeling agency Duniani wapo pia Tz
 
Habari wana jf,

Mimi ni binti wa miaka 23. Napenda kuwa model na vigezo ninavyo. Mwenye kujua au anaeweza nisaidia ili niwe model please aje pm [emoji120] [emoji120].

Asante.
Wafuhatilie hawa jamaa instagram @theinnovationhouse2014 watakusaidia. Its a big modeling agency Duniani wapo pia Tz
 
Chura unayo lakini?....ooh sorry you said you wanna be a model.Anyway jiamini usije ukatumika.
 
Habari wana jf,

Mimi ni binti wa miaka 23. Napenda kuwa model na vigezo ninavyo. Mwenye kujua au anaeweza nisaidia ili niwe model please aje pm [emoji120] [emoji120].

Asante.
mara una miaka 21, mara 23 , uongo uongo hautakufikisha mahali mdogo wangu
 
Back
Top Bottom