Msaada: Napiga mihayo sana(excessive yawn)

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
883
Reaction score
1,291
Wakuu naomba msaada wa ushauri na kimatibabu ikiwezekana...Nina tatizo la kupiga mihayo Sana..kwa dakika naweza kupiga Mara 2..nmejaribu kusearch Google kujua labda tatizo langu ni nini...majibu ni mengi hadi nashindwa kuelewa.huwa napumzka vya kutosha kabisa..naombeni msaada
 
Kunywa maji lita 1.5 kila siku nusu saa kabla ya kula au nusu saa baada ya kula unakunywa kidogo kidogo.
 
Wakuu naomba msaada wa ushauri na kimatibabu ikiwezekana...Nina tatizo la kupiga mihayo Sana..kwa dakika naweza kupiga Mara 2..nmejaribu kusearch Google kujua labda tatizo langu ni nini...majibu ni mengi hadi nashindwa kuelewa.huwa napumzka vya kutosha kabisa..naombeni msaada

Mambo tofauti yanaweza kusababisha symptoms zilezile.., kwahio kama kuna remedies tofauti fuata zote moja baada ya nyingine mpaka pale utakapofanikiwa
 
Wakuu naomba msaada wa ushauri na kimatibabu ikiwezekana...Nina tatizo la kupiga mihayo Sana..kwa dakika naweza kupiga Mara 2..nmejaribu kusearch Google kujua labda tatizo langu ni nini...majibu ni mengi hadi nashindwa kuelewa.huwa napumzka vya kutosha kabisa..naombeni msaada
Kupiga miayo mingi kwaweza kusababishwa na ubongo kukosa kiasi cha oksjeni inayotakiwa. Punguza miayo kwa kufanya lifuatalo: 1. vuta hewa nyingi ndani (deep breathing) kila upigapo miayo. Fanya hivo mara kadhaa.
 
Back
Top Bottom