Mb-one
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 883
- 1,291
Wakuu naomba msaada wa ushauri na kimatibabu ikiwezekana...Nina tatizo la kupiga mihayo Sana..kwa dakika naweza kupiga Mara 2..nmejaribu kusearch Google kujua labda tatizo langu ni nini...majibu ni mengi hadi nashindwa kuelewa.huwa napumzka vya kutosha kabisa..naombeni msaada