MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

The Farmer TZ

Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
21
Reaction score
7
Naomba msaada wakuu

Najaribu kuingia kwenye account ya HESLB lakini inagoma, ni tatizo la wengi au ni miimi pekee.
 
Hata mm nilifikiria ivyo mkuu ila tuombe mungu tu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kama Kufunguka zinazofunguka Ila ujumbe ni uleule labda msubiri baadaebaadae kidgo..
Kwani kwenye website yao hawajaweka tangazo mpaka sasa..?
 
Kama Kufunguka zinazofunguka Ila ujumbe ni uleule labda msubiri baadaebaadae kidgo..
Kwani kwenye website yao hawajaweka tangazo mpaka sasa..?
Mkuu yangu haifunguki nimejaribu tangu jana usiku mida ya saa mbili mpaka sasa hv ila tumuombe tu mungu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hili ndio nalolifikilia mie pia. Hawataki usumbufu kwa wale wanao wekewa mkopo. Thus why baadh ya account zinafunguka.
Punguza wenge badilii na passwrd check na device yako l.mchawi ni wewe mwenyewe wala sio heslb
 
Punguza wenge badilii na passwrd check na device yako l.mchawi ni wewe mwenyewe wala sio heslb
Kaka embu elewa ukiweka password wanafungua wanakwambia kabisa password umekosea ila ukiipatia hai load kabisa
 
Punguza wenge badilii na passwrd check na device yako l.mchawi ni wewe mwenyewe wala sio heslb
Kwani nimie pekee tu? Wengi account hazifunguki. Kwaio wote hatujui password?? Hii hata wakati wa admission za chuo ilikuwa ikitokea. Punguza pressure Mkuu
 
Back
Top Bottom