MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

Ukiingia kwa account yako una ambiwa username incorrect jua you are next .
 
Waulizeni huko WhatsApp wanakojibu maswali
Namba yao WhatsApp haiko online mara kwa mara..
Screenshot_20201117-101322.jpg
 
Hii mikopo inatolewa kwa mbinde kana kwamba mtu hatakuja kulipa jamani..!
 
Back
Top Bottom