The Farmer TZ
Member
- Aug 22, 2014
- 21
- 7
Hili ndio nalolifikilia mie pia. Hawataki usumbufu kwa wale wanao wekewa mkopo. Thus why baadh ya account zinafunguka.Wana upload allocation .
Hili ndio nalolifikilia mie pia. Hawataki usumbufu kwa wale wanao wekewa mkopo. Thus why baadh ya account zinafunguka.
Hapana sina uhakika juu ya hili Mkuu. Ni mtazamo tu.So inawezekana kwa ambazo zinafunguka tumeenda na maji 😂
Website ipo wazi muda wote. Tumia chromeKitu ninachoona hakifunguki ni website ya heslb
Hata mm nilifikiria ivyo mkuu ila tuombe mungu tu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]So inawezekana kwa ambazo zinafunguka tumeenda na maji [emoji23]
Kama Kufunguka zinazofunguka Ila ujumbe ni uleule labda msubiri baadaebaadae kidgo..Hata mm nilifikiria ivyo mkuu ila tuombe mungu tu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu yangu haifunguki nimejaribu tangu jana usiku mida ya saa mbili mpaka sasa hv ila tumuombe tu mungu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Kama Kufunguka zinazofunguka Ila ujumbe ni uleule labda msubiri baadaebaadae kidgo..
Kwani kwenye website yao hawajaweka tangazo mpaka sasa..?
Hakuna update yoyote.Kama Kufunguka zinazofunguka Ila ujumbe ni uleule labda msubiri baadaebaadae kidgo..
Kwani kwenye website yao hawajaweka tangazo mpaka sasa..?
Punguza wenge badilii na passwrd check na device yako l.mchawi ni wewe mwenyewe wala sio heslbHili ndio nalolifikilia mie pia. Hawataki usumbufu kwa wale wanao wekewa mkopo. Thus why baadh ya account zinafunguka.
Kaka embu elewa ukiweka password wanafungua wanakwambia kabisa password umekosea ila ukiipatia hai load kabisaPunguza wenge badilii na passwrd check na device yako l.mchawi ni wewe mwenyewe wala sio heslb
Kwani nimie pekee tu? Wengi account hazifunguki. Kwaio wote hatujui password?? Hii hata wakati wa admission za chuo ilikuwa ikitokea. Punguza pressure MkuuPunguza wenge badilii na passwrd check na device yako l.mchawi ni wewe mwenyewe wala sio heslb